mboperatransy
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 314
- 1,274
[emoji122][emoji122]Mwizi aliniibia simu yangu asubuhi, jion akakamatwa kaiba Tv, akapigwa sana, akaletwa hospital , nikiwa ninamashona majeraha aliyepigwa, na mwananchi mmoja akatoa simu yangu ilioibiwa asubuhi akasema na simu yake hii hapa huyu mwizi.Jaman iliniuma lakin kwa kuwa ni kazi na wito , nikaendelea kutoa huduma .Na badae nikachukua simu yangu.
Tokea pale yule mwizi alipotoka jela baada ya miaka 3 akaja kuniomba msamaha na sasa hivi ndio mjumbe wa mtaa wetu , amebadilika kabisa.Hawa watu hubadilika.
Hata ulaya na nchi zilizoendelea mwizi lazma wampige pipe(bunduki) yote ni Yale Yale tuu, maana atakufa, sema Kwa mwizi wa bongo mpaka uje ufe utafanyiwa ukatili wa Kila namna ila kiujumla wizi ni mbaya kifo kinakuhusu.Ukimkamata mwizi mfikishe kwenye vyombo vya sheria achukuliwe hatua nasio kuchukua sheria mkononi za kumuua hapo tunatengeneza au tunabomoa!
Wewe subiri siku wanavamia kwako afu wakufire mbele ya mkeo na wanao, afu Kwa zarau wanakunyang'anya na kuchukua kwanguvu na kibabe mali ulotafuta Kwa kujibidiisha na Kwa uchungu. Hakika nakuambia utarudi humu kuja kufuta huu Uzi.Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good.
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo? Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?
Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka, walimwengu ni makatili sana.
NakaziaUkatili si mzuri lakini hao jamaa siku wakikupitia mtazamo unaweza kubadilika dakika tuu
Mtoa mada unaongelea polisi ipi? Mahakamani zipi? Za nchi Hii au ?Uko sahihi mkuu yaani mtu umemkamata kabisa na uzuri CCTV camera zipo kwanini usimpeleke polisi muende mahakamani mkamalizane? Yaani wamempa mateso sana mengine nimeona hata aibu kuyasema hapa. Ila kama jamii tuna la kujifunza na tukubali kuacha huu ukatili kwa namna moja ama nyingine.
Wananchi wenye hasira ni marafiki wema wa polisiHabari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good.
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo? Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?
Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka, walimwengu ni makatili sana.
Jamii ina makatili sana na moja wapo ni hao wezi... Imagine umenunua tv unajikusanya ununue na king'amuzi kabla hata hujaiwasha anapita nayo kama ya kwake.Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good.
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo? Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?
Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka, walimwengu ni makatili sana.
Wauliwe tuJamii ina makatili sana na moja wapo ni hao wezi... Imagine umenunua tv unajikusanya ununue na king'amuzi kabla hata hujaiwasha anapita nayo kama ya kwake.