NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja.
Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka zikapasuka kwasababu tu kaka yake alihisi yeye ndie kaiba laptop ya laki 3.
Mtu anapasuliwa korodani kisa kuhisiwa kaiba laptop ya laki 3 😕😕 hivi hadi unampasua mwenzako korodani una chembe hata ya ubinadamu kweli?
Kwa matukio haya hata urafiki na mapolisi ni kuiweka roho yako mkononi, siku ifike mzinguane kinachoweza kukutokea unaweza kujuta kuzaliwa