Ninao uhakika hajui maana yake ,hii haina tofauti na yule mwenyekiti wake alieiga slogan ya must go hadi alipokuja okolewa na katibu wake 🙆♂️🙆♂️Unaelewa maana ya "Point of no return" au unaropoka tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao uhakika hajui maana yake ,hii haina tofauti na yule mwenyekiti wake alieiga slogan ya must go hadi alipokuja okolewa na katibu wake 🙆♂️🙆♂️Unaelewa maana ya "Point of no return" au unaropoka tu?
We ulimwona wapi anamtuma mtu akatekwe???? Akili kichwani huna umejaza makamasi tupu.Ni ibara gani inayompa kiongozi uhalali wa kuagiza mtu apigwe risasi au atekwe na kisha auwawe? Ni ibara gani inayompa kiongozi uhuru wa kuwambia wananchi "wanabweka" au kuwaambia wameota mikia?Usiwe kilaza kiasi hicho.
Kwanza hivi nyie ni chama cha siasa mpaka tusumbuke kubishana na nyie wakati siasa zimewashinda mnategemea Polisi?Ha ha ha ha msanii Mbowe, ilibidi tu ajitokeze la sivyo wafadhili wake wasingemuelewa, ndio maana akawaanda akina Kikeke wawe pale anaposhukia ili ashikwe haraka bila kipondo, awahi ndani halafu nyumbu kama wewe muendelee kumuamini, na yeye aendelee kupiga pesa, kwanza we uliona anaandamana??
Wewe hujui namna ambavyo wananchi wanamkubali Mama, we ngoja uone uchaguzi huu anavyoupiga mwingi.Kwanza hivi nyie ni chama cha siasa mpaka tusumbuke kubishana na nyie wakati siasa zimewashinda mnategemea Polisi?