Ha ha ha ha msanii Mbowe, ilibidi tu ajitokeze la sivyo wafadhili wake wasingemuelewa, ndio maana akawaanda akina Kikeke wawe pale anaposhukia ili ashikwe haraka bila kipondo, awahi ndani halafu nyumbu kama wewe muendelee kumuamini, na yeye aendelee kupiga pesa, kwanza we uliona anaandamana??