Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Kila siku ninapoint basi tu huwa zinawachoma wanazi
Hata me nakuunga mkono umeongea point kubwa sana siku zingine sijui unavutaga nn? Leo umeongea Kama boss lady unapokuwa ni role model wa zari ni lazima uige skills alizonazo ktk kuongoza biashara zake kwa mafanikio
 
Ili mtu awe tajiri lazima akandamize wa chini yake. WCB haina tofauti na Clouds zote zipo kibiashara zaidi
Kama Ukweli Ndo Huo, hivyoooooo HATUTAKI UNAFIKIIIIIIIIIII kwa vijiswahili vingine kutaka kuonekana vitakatifu saaaaaaana
 
Naona team kiba imeamia ntwara sasa
 
Ukweli ni kwamba maisha ya Wasanii wa WCB ukimtoa Diamond ambao ni boss wao wengine wanaishi maisha mabaya Sana,kazi kweli wanafanya Sana lakini pesa ni Kama vile wanaenda kumtaftia Diamond na washirika wake.Mwaka juzi hamonize aliandaa shoo Mtwara kwa gharama zake lakini aliporudi dar pesa yote ilienda ofisini na badala yake yy na Vijana wake wakakaa wiki wanasubiri boss arudi apige hesabu kulingana na mkataba unavyoeleza ili yy agawiwe chake nayeawalipe Vijana wake
 

Kwani mikataba ya kazi alisaini mwenyewe au hakusaini? Umeshaona mikataba yake? Hivi kweli unaamini huwa habakiwi na kitu? Kama ingelikuwa kweli huwa hapati kitu sasa hivyo vitu alipata vipi na hao mabodigadi ana walipa vipi kama si matunda ya WCB?
 
Umeandika uchafu.. rudi ukafundishwe jinsi ya kupangilia masndishi na taratibu zske
 
Using block letters when shitting shit is a shit sign of panicking. Pls relax.
 
Ww kama msemaji wa WCB unaonaje hii imekaa sawa au c sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…