Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

HAKUNA ALIESHIKIWA BUNDUKI KUSAINI MKATABA, NDIO MAANA MKATABA HUWA NA PANDE MBILI ZENYE MAKUBALIANO CHANYA JUU YA KILE WANACHOENDA KUKISAINI PAMOJA NA MASHAHIDI WA PANDE ZOTE MBILI, TATIZO LIKO HPA, WAKATI MSANII NI UNDERGROUND FOCUS KUBWA NI KUTOK NA KUWA NA JINA, WENGI WAKO KTK TABAKA LA CHINI NA LISILO NA KIPATO, WENGI ELIMU DUNI JUU YA UELEWA WA MIKATABA, FOCUS KUBWA NI KUTOKA, KUWA NA JINA ALAFU BAADAE NDIO NITENGENEZE PESA, HII TRANSITION NDIO HUANZA KULETA MATATIZO, UELEWA WA MTU MWENYE AFYA NZURI YA AKILI HUBADILIKA NA KUWEZA KUCHAMBUA MAMBO KWA MAPANA NA NDIPO KIINI CHA MIGONGANO NA MISUGUANO HUANZA BAINA YA MSANII NA LEBO, BAADHI YA MATAKWA YANAKUWA MAGUMU KUTEKELEZEKA NA HAPO NDIPO MSUGUANO WA KUVUNJA AMA KUREKEBISH MKATABA HUANZA,BAHATI MBAYA SANA MKATABA NI SIRI, BAHATI MBAYA SANA HASARA MARA NYINGI HUWA KWA MSANII NA SI LEBO, BAHATI MBAYA SANA MASHABIKI HUMTIZAMA ALIEMTOA MSANII KTK VERY POSITIVE WAY (WITH FUCKING AND CONCLUSIVE ANSWER WITHNO RESEARCH OR PROOF) KUWA HANA MAKOSA YOYOTE, WASANII WENGI HAWAELEWEKI TENA KWA MASHABIKI, HAWAELEWEKI KWA JAMII NA NDIO HUPATA NEGATIVE IMAGE KUBWA SANA KTK KUJITOA AMA KUVUNJA MKATABA. LAITI MITIZAMO IBADILIKE JUU YA MASAKATA HAYA YA WASANII KUVUNJA MKATABA TASNIA ITAFIKA MBALI, ZAIDI MASHABIKI WENGI SIKU HIZI WANAPENDA SANA LEBO KULIKO UHALISIA WA MZIKI, WANAPENDA SANA LEBO KULIKO WANAMUZIKI, AS LONG AS MSANII YUKO KTK LEBO FULANI BASI YEYE ATAMSHABIKIA ILA AKITOKA MZIKI WAKE HATOFATILIA, HUU NI UNAFIKI NA UZANDIKI WA HLI YA JUU KWA VIJANA WA KISASA, YUKO WAPI BARAKA, MAVOKO, BELLA ENOCK, MENGI YANATOKEA KAMA FUNZI STILL WATU HAWAZINGATII, SOKO LA MUZIKI WA BONGO LIMEJAA UNAFIKI, FITINA, NA MAJUNGU YASIYO NA MSINGI NDIO MAANA KUTOBOA KUNAKUWA KUGUMU, ATLEAST MIAKA INGERUDI NYUMA ULE MZIKI WA BONGOFLEVA WA MIAKA YA 1996-2007 INGEWEKZWA VEMA LEO HII TUNGESHAKUWA NA GRAMMY KWA WASANII ZAIDI YA 20, ILA KWA SABABU MZIKI UMEKASIMIWA NA MAJUHA WENGI, NA MASHABIKI MAANDAZI WALIO JAA MAHABA KAMA KAHABA NA GUEST, BASI NYEUSI ITASEMWA NYEUPE NA NYEUPE ITASEMWA NYEUSI, HYWEZI LETA USHINDANI IKIWA MTARUHUSU WALIO JUU WAWE WACHACHE, LEO HII KILA MSANII AKITOKA PARAMETEE OF MEASUREMENTS NI ALI NA MOND, MEN C'MON MOND IS HERE ON MUSIC FOR 10 YEARS, ALI IS THERE OF 14 YEARS WHAT THE **** ARE YOU COMPARING A NEWBIE WITH LEGENDS, GIVE THE NEWBIES TIME AND WINGS TO FLY SO THEY GIVE OUT THEIR TALENT TO THE WORLD, ENJOYING THE WORLD AND THEIR TALENTS GIVEN BY GOD, BUT INAKUWA KINYUME KWA BONGO, MAJUNGU MAJUNGU KWA SANAAAAA, NCHI INA WATU ZAIDI YA MIL.6O UNA LEBO SIJUI MBILI SIJUI TATU, IKIJARIBIWA KUUNDWA LEBO NYINGINE INAANZA FITINA NA NONGWA ?? HUU SI NDII UCHAWI WA KIJERUMANI KABISAA?? YAANI MASHABIKI HAWATAKI LEBO ZIONGEZEKE, ZIKIANZA ZINAANZA KUSHINDANISHWA NA LEBO KONGWE AS IF HIZI MPYA ZILIKUWEPO. THIS IS F***STUPIDITY KWA MASHABIKI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA, WENGINE WAMO HUMU JF WAFIKISHIENI TAARIFA MASHABIKI NA WENGINE WENYE DHAMAN YA HUU MZIKI, KUFIKIA LEVO ZA NIGERIA NI NGUMU KAMA KANGAROO KUZAA WATOTO WAWILI WAKATI ANA MFUKO MMOJA WA KUHIFADHIA MTOTO MMOJA. MASHABIKI, BIFU ZA KISENGE, CHUKI BURE NA UNAFIKI UNAUA TASNIA YA BONGO, BUREEEE KABISAA KWA WANAOFANYA HIZI MAMBO TENA WENGINE WANA DHAMANA KABISA YA HUU MZIKI, KUMUUA MSANII MMOJA ILI MMPANDISHE MWINGINE HAIKUZI MZIKI ILA INABOMOA KABISA, KUUA LEBO MOJA ILI IBAKI MOJA HAIKUZI MZIKI ILA INAZIDI KUFANYA WALIO MTAANI WENYE VIPAJI WASIPATE PLATFORM, KUANZISHA MEDIA MOJA ILI UUE MEDIA NYINGINE ILIYOPO HAIKUZI MZIKI INAJENGA MONOPOLY MPYA ITAKUWA NA MAKUCHA SAWA NA ILE MEDIA BEPARI YA ZAMANI, NA ZAIDI AKIFKIA LEVEL YA SELF ACTUALIZATION NDIPO HAKUNA RANGI WASANII WATAACHA KUIONA SO THE CIRCLE CONTINUES TILL THE END UNTIL WATAKAPOAMUA KUTOKA KTK HII CIRCLE THEN THE BONGO AND FLEVA SHALL PROPELL TO THE WOLRD.
Duuh, watu eote tungekuwa na uandishi huu humu ndani vichwa vingechemka vikalipuka.
 
mtoa mada itakua upo nyagi, nambie ni label gan ya mziki hapa bongo ishatengeneza wasanii nakuwapa mafanikio kwa mda mfupi kama wasafi?
kuna muda tukitaka kuandaa nyuz, basi tutafakar
Ndio kigezo cha kunyonya watu??
 
Mkuu samahani sana kama ntakukosea ila naomba urudi shule kujifunza kanuni za uandishi na matumizi ya herufi kubwa na ndogo, kiukweli bandiko lako au mawazo yako sijayasoma yanaweza kuwa mazuri ila huandishi ni mbovu sana hauvutii yani nizaidi ya uchafu.

Hakuna space, vituo, mtiririko wa mawazo narudia jitathimini afu jipige kifuani mara tatu sema mimi ni mjinga sijaitendea haki pesa ya mzazi wangu
AsantE MwaliMu waBritish KanselI nitakuj kwako unifundishe fasiHi na Uandishi pAmojA na alfaBEti
 
Umeandika uchafu.. rudi ukafundishwe jinsi ya kupangilia masndishi na taratibu zske
Endelea kuandika yako yaliyo masafi ndugu, Anza kujitolea kuwafundisha watu nitakuja kujifunza kwako, inaonekana unajua sana kufundisha nitashukuru sana ukianza kufundisha umu, Ongea na moderator ili afungue page ya uandishi niwe mwanafunzi wako
 
Endelea kuandika yako yaliyo masafi ndugu, Anza kujitolea kuwafundisha watu nitakuja kujifunza kwako, inaonekana unajua sana kufundisha nitashukuru sana ukianza kufundisha umu, Ongea na moderator ili afungue page ya uandishi niwe mwanafunzi wako
Kubali kukosolewa..na ukubali kubadilika.
Kwahiyo hujui matumizi ya naandishi makubwa au kuacha paragraph.?
 
Diamond huyu huyu unayesema mnyonyaji alimchukua harmonize wa Maraika akampika kwa miaka miwili pale usafini akamjengea heshima na kumtetea akahakikisha kijana anatoboa kimataifa akamkingia kifua Mawingu wasimtumie bure kwa kupandisha thamani yake...kumbuka alipochukuliwa hakua na uwezo wa kununua hata wa 1m lakini kupitia Diamond Harmonize amekua star,pesa,timu kubwa na uwezo wa kuwanunulia mpaka wazazi wake magari je,ulitaka diamond afanye nini zaidi ya hapo au ulitaka awe ana mpa na hela zake za shoo?

Clouds wasanii wao wote hakuna hata msanii mmoja waliowahi kumfanyia hayo yote zaidi ya kuwatumia na kuwaacha.Hata kama Diamond mnyonyaji kama unavyosema basi mara kumi yake yeye kuliko hao mawingu.
Natumaini amekuelewa vizuri, wanaongea bila kufikiri sijui walitaka diomond atoe sadaka uwekezaji mkubwa alioufanya.
 
Harmonize anaenda kuua umaarufu wa kiba now itakuwa mond vs harmo ssio kiba tena
 
Kubali kukosolewa..na ukubali kubadilika.
Kwahiyo hujui matumizi ya naandishi makubwa au kuacha paragraph.?
Sasa si ndio nataka unifundishe mzee wa linguistic, kiswahili na fasihi andishi😂😂😂😂😂
 
Hivi huwa nashangaa sana haya mambo. kwani kuna mtu alishikiwa mtutu wa bunduki kusaini hiyo mikataba? Au tunakuja na vimihemko bila kutumia akili kuandika haya mambo? Poleni sana watu msio na akili maana kabla ya kufanya jambo lazima utumie akili. Tujitahidi sana kumuomba Mungu azitengeneze akili zetu ili zitumike vizuri.
 
Back
Top Bottom