Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Hawez kukujibu hayo maswali
Kwani mikataba ya kazi alisaini mwenyewe au hakusaini? Umeshaona mikataba yake? Hivi kweli unaamini huwa habakiwi na kitu? Kama ingelikuwa kweli huwa hapati kitu sasa hivyo vitu alipata vipi na hao mabodigadi ana walipa vipi kama si matunda ya WCB?
 
Kama hujui terms za mikataba ya wasanii, ni bora ungekaa kimya tu usubiri wenye uelewa kuhusu hili waanzishe nyuzi... Kum-manage msanii sio kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri, hasa ikiwa msanii bado mchanga kabisa. Hii migogoro ya mikataba kati ya msanii na management yake iko duniani kote...

Ndio maana pale WCB mtu yeyote anayetoka pale au hata fununu tu kuwa anataka kuachana na lebel, huwezi kukuta Diamond anaongelea popote, hajawahi kuzungumza lolote kuhusu Kifesi, Mwarabu fighter, Q boy, Rich Mavoko na hata huyu Harmonize wa juzi Diamond hatazungumza chochote... hujiulizi kwa nini anakaa kimya pamoja na watu wengi kutamani aseme neno?

Na kuhusu clouds...alisema sio?
 
kabla ya artist kusainiwa, lazima apewe mkataba ili aupitie kabla ya kuukubali na kumwaga wino!
 
Uongozi wa wcb chini ya diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina chief mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita kiasi.
Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji, lakini wanachofanya wao bora hata clouds.
Msanii rich mavoko ameondoka coz ya kunyonywa, hamonaizi ameondoka na mdeni wa mil 500 mpaka kupelekea nyumba zake kupigwa mnada. Rayvanny na lava lava wanalalamika chini chini, na huenda huu mwaka usiishe watakuwa washajitoa.
Diamond c mtu mzuri, alimnyanyasa sana mwarabu fighter,. Pia ni lazma awanyonye kama baba yake tu aliemtoa kiunoni kwake alimnyanyasa ndo ije rayvany na mavoko.

Tubadilike jamani wcb
Kama Harmonize alikuwa hivi basi kweli Mond anajua kuwanoa vijana
 
Mashabiki wengi wa wcb wanafikiri ukiea msanii unatakiwa uwe na jina kubwa wengi hawaangalii maslahi ya msanii yakoje na unapowaambia ukweli utashambuliwa vibaya mno ila ukweli ni kwamba wanaofaidi kule ni Diamond na wale managers kidogo kinachobaki ndio wanapewa hao madogo wengine na ni ngumu kutoka huko kutokana na masharti magumu ambayo yanalinda reputation ya kampuni, kama ni kuzuri kihivyo mwarabu fighter asingeondoka kwani yeye hapendi pesa, Rich mavoko asingeondoka kama kuna maslahi na Harmonize nae asingeondoka tatizo mashabiki hatuangalii yule mtu pale ana pata nin akiondoka tunamtupia maneno mabaya trust me Jux anapata pesa kuliko hata wakina Rayvanny hata harmonize kipindi yupo ila kwa jina amezidiwa na hao kina Rayvanny.
Kidogo kinachobaki ndicho wanapewa... serious!!!

Leo hii baada ya takribani miaka 5 tu, Harmonize ameuthibitishia umma kwamba anawalipa WCB Sh. 500M. Ni Watanzania wangapi hata baada ya kufanya kazi kwa miaka 30+ wakija kustaafu wanaweza kuwa na ubavu wa kulipa 500M?!

Go back kwa GRADUATES WOOOOOOOOOOOTE Tanzania unaowafahamu na walioanza kazi miaka 5 iliyopita halafu njoo hapa na orodha ya graduates wenye huo ubavu unaofanywa sasa na kijana aliyeishia darasa la saba!!

Go back kwa GRADUATE WOOOOOOOOOOOOTE unaowafahamu wa Tanzania walioanza kazi miaka 10 iliyopita halafu rudi hapa na orodha ya graduate wenye huo ubavu unaofanywa na Harmonize ambae hata ukimuuliza "what is civics" ataishia kujiuma uma tu!!!

Watanzania ni wanafiki sana!!! Generally speaking, at least 75% ya hao graduates niliowataja hapo hadi kesho watakuwa wanaishi kwenye vyumba vya kupanga tena Uswahili huku wakigombania daladala kwenda "kazini!"

Lakini huwezi kusikia wakiwalalamikia waajiri wao kwamba ni wanyonyaji kama watakavyowalalamikia watu "wanaowanyonya" wasanii!! Yaani mkiskia msanii fulani kagombana na radio au management.

Tena management au radio yenyewe iwe WCB au Clouds, mtaruka hapa kuimba jinsi Diamond na Clouds walivyo wanyonyaji huku mkisahau wengine na madigrii yenu bado hadi kesho mnapanda daladala na mnakuwa na adabu kweli kweli kwa waajiri wenu wanaoishia kuwapa pesa ya kula wali maharage, nyama mara mbili kwa mwezi ili usilale njaa na kushindwa kwenda kazini siku inayofuata!!

Hapa mtabaki kuimba Harmonize amenyonywa sana na Diamond huku wenyewe mkishindwa kununua hata Samsung 8 ingawaje mmeajiri kwa zaidi ya miaka 5 sasa huku mkiwa na elimu ya chuo kikuu!!!

Wakati yenyewe yanalipwa Sh. 600K kwa mwezi lakini wanaweza kupigwa hata makofi na mabosi wao na wasifanye kitu lakini wanataka wasanii wanaolipwa maradufu ya wao ndio wawe wanawavimbia waliowafikisha hapo!!! Mtu ukisema utasikia oh, "...mnaogopa ku-take risk" wakati wenyewe wanalipwa laki 3 na hawaachi kazi au kuwavimbia mabosi wao!!

Nyie watu acheni unafiki! Ni kweli tunaweza kusema wananyonywa lakini kumfanya mtu ambae alikuwa hafahamiki hata mtaani kwao akawa anafahamika kote Afrika sio jambo dogo, na hiyo ina thamani kubwa sana!!

Ni kutokana na hilo ndio maana mikataba ya wasanii popote pale duniani ni migumu kwa sababu labels/management companies zinafahamu baada ya msanii kuachana nae, wakati huo atakuwa na thamani mara milioni moja kabla hajajiunga nao!!!
 
Kama hujui terms za mikataba ya wasanii, ni bora ungekaa kimya tu usubiri wenye uelewa kuhusu hili waanzishe nyuzi... Kum-manage msanii sio kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri, hasa ikiwa msanii bado mchanga kabisa. Hii migogoro ya mikataba kati ya msanii na management yake iko duniani kote...

Ndio maana pale WCB mtu yeyote anayetoka pale au hata fununu tu kuwa anataka kuachana na lebel, huwezi kukuta Diamond anaongelea popote, hajawahi kuzungumza lolote kuhusu Kifesi, Mwarabu fighter, Q boy, Rich Mavoko na hata huyu Harmonize wa juzi Diamond hatazungumza chochote... hujiulizi kwa nini anakaa kimya pamoja na watu wengi kutamani aseme neno?
Unadhani kwanini hazungumzi???
 
Mikataba ni migumu Sana na watu wakigundua Kama kuna fursa ndani yako na hauna vyanzo wanakusainisha mkataba wa kijinga maana wewe haujawahi kushika/kupatamilion 10 kwa mwezi yeye anakuambia nitakupa ila anakutumia unazalisha milioni 500+ ukija kushtuka una mkataba wa miaka 10 ukijotoa ndio unauza nyumba na still unadaiwa MIL 50
 
Kidogo kinachobaki ndicho wanapewa... serious!!!

Leo hii baada ya takribani miaka 5 tu, Harmonize ameuthibitishia umma kwamba anawalipa WCB Sh. 500M. Ni Watanzania wangapi hata baada ya kufanya kazi kwa miaka 30+ wakija kustaafu wanaweza kuwa na ubavu wa kulipa 500M?!

Go back kwa GRADUATES WOOOOOOOOOOOTE Tanzania unaowafahamu na walioanza kazi miaka 5 iliyopita halafu njoo hapa na orodha ya graduates wenye huo ubavu unaofanywa sasa na kijana aliyeishia darasa la saba!!

Go back kwa GRADUATE WOOOOOOOOOOOOTE unaowafahamu wa Tanzania walioanza kazi miaka 10 iliyopita halafu rudi hapa na orodha ya graduate wenye huo ubavu unaofanywa na Harmonize ambae hata ukimuuliza "what is civics" ataishia kujiuma uma tu!!!

Watanzania ni wanafiki sana!!! Generally speaking, at least 75% ya hao graduates niliowataja hapo hadi kesho watakuwa wanaishi kwenye vyumba vya kupanga tena Uswahili huku wakigombania daladala kwenda "kazini!"

Lakini huwezi kusikia wakiwalalamikia waajiri wao kwamba ni wanyonyaji kama watakavyowalalamikia watu "wanaowanyonya" wasanii!! Yaani mkiskia msanii fulani kagombana na radio au management.

Tena management au radio yenyewe iwe WCB au Clouds, mtaruka hapa kuimba jinsi Diamond na Clouds walivyo wanyonyaji huku mkisahau wengine na madigrii yenu bado hadi kesho mnapanda daladala na mnakuwa na adabu kweli kweli kwa waajiri wenu wanaoishia kuwapa pesa ya kula wali maharage, nyama mara mbili kwa mwezi ili usilale njaa na kushindwa kwenda kazini siku inayofuata!!

Hapa mtabaki kuimba Harmonize amenyonywa sana na Diamond huku wenyewe mkishindwa kununua hata Samsung 8 ingawaje mmeajiri kwa zaidi ya miaka 5 sasa huku mkiwa na elimu ya chuo kikuu!!!

Wakati yenyewe yanalipwa Sh. 600K kwa mwezi lakini wanaweza kupigwa hata makofi na mabosi wao na wasifanye kitu lakini wanataka wasanii wanaolipwa maradufu ya wao ndio wawe wanawavimbia waliowafikisha hapo!!! Mtu ukisema utasikia oh, "...mnaogopa ku-take risk" wakati wenyewe wanalipwa laki 3 na hawaachi kazi au kuwavimbia mabosi wao!!

Nyie watu acheni unafiki! Ni kweli tunaweza kusema wananyonywa lakini kumfanya mtu ambae alikuwa hafahamiki hata mtaani kwao akawa anafahamika kote Afrika sio jambo dogo, na hiyo ina thamani kubwa sana!!

Ni kutokana na hilo ndio maana mikataba ya wasanii popote pale duniani ni migumu kwa sababu labels/management companies zinafahamu baada ya msanii kuachana nae, wakati huo atakuwa na thamani mara milioni moja kabla hajajiunga nao!!!
Umeandika kwa kirefu sana lakin mwenyew amesema alikua hana hizo pesa kabisa ameuza mali zote zake huwezi jua mke anapacent ngap kwenye hiyo kama umemsikia between words management yake imemsaidia but still hajamaliza so usitake kusema kwamba wamempa gharama hizo wakijua hataweza kupata but mwisho wa siku amepata kiasi.
 
Serious! Yaani unaamini kabisa kwamba hizo mali alizouza ni za Sarah?! Na kama umemsikia katika hicho ulichokiita kwamba "...between words", ungefahamu kwamba there's no way angeweza kusema kwamba eti ana pesa!!

Labda kama umesahau nikukumbushe ni miezi michache tu iliyopita huyo huyo unayesema hana pesa kawanunulia wazazi wake usafiri... sijui ni wangapi wanamudu hilo!!

Huyo huyo huyo unayesema hana pesa anajenga msikiti kijijini kwao... unless kama unaamini ni Sarah ndie katoa pesa zake ili Harmonize ajenge msikiti!!

Utakuwa unajidanganya kama unadhani pale alipo akiambiwa atoe 100M ya kwake mwenyewe ama sivyo anauawa halafu ukatarajia atauawa kwa kukosa 100M!!

Kwamba eti wamempa hizo gharama kwa kudhani walijua hatapata basi inaonesha wazi kwamba wala hufahamu mikataba ya wasanii inavyokuwa!!

Mikataba inaanza kuandikwa kabla msanii hajaanza kazi, and am telling you, hivi sasa uongozi wa WCB unajilaumu kwa sababu kwa sasa thamani ya Harmonize ni kubwa sana tena sana kulinganisha na Sh. 500M. Pale pale na bila alipo kabla hajatoa hata single nje ya WCB, angeweza kula mkataba na kampuni kubwa kama ilivyo Sony na kupewa zaidi ya hiyo 500M!!

Watu video moja tu inagharimu zaidi ya 50M halafu unaona 500M ni nyingi sana??!!! Leo hii thamani yake kwa show moja ni zaidi ya 10M halafu unaamini walimwekea 500M ili kumkomoa??!!!

I doubt kama unaifahamu hii tasnia!!
 
Walikuelewa nistue, vinginevyo andaa nguo chafu povu linakuja
Ukweli ni kwamba maisha ya Wasanii wa WCB ukimtoa Diamond ambao ni boss wao wengine wanaishi maisha mabaya Sana,kazi kweli wanafanya Sana lakini pesa ni Kama vile wanaenda kumtaftia Diamond na washirika wake.Mwaka juzi hamonize aliandaa shoo Mtwara kwa gharama zake lakini aliporudi dar pesa yote ilienda ofisini na badala yake yy na Vijana wake wakakaa wiki wanasubiri boss arudi apige hesabu kulingana na mkataba unavyoeleza ili yy agawiwe chake nayeawalipe Vijana wake
 
Hakiri ndogo ml500 sio pesa kwa pale W<B sababu wanawekeza pesa nyingi kwenye music, Video moja gharama inaweza ikawa ata ml100 sasa hapo wewe harmonize umevunja mkataba ili uchukue nyimbo zako zote unashindwa kulipia ml500 kwa lipi
 
Ukweli ni kwamba maisha ya Wasanii wa WCB ukimtoa Diamond ambao ni boss wao wengine wanaishi maisha mabaya Sana,kazi kweli wanafanya Sana lakini pesa ni Kama vile wanaenda kumtaftia Diamond na washirika wake.Mwaka juzi hamonize aliandaa shoo Mtwara kwa gharama zake lakini aliporudi dar pesa yote ilienda ofisini na badala yake yy na Vijana wake wakakaa wiki wanasubiri boss arudi apige hesabu kulingana na mkataba unavyoeleza ili yy agawiwe chake nayeawalipe Vijana wake
Mkuu ww ni nani pale WCB
 
Back
Top Bottom