Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Diamond huyu ni mmoja kati ya wasanii ambao clouds walitumia nguvu nyingi sana kumpromote na kumeweka kwenye ramani na jamaa alifanya vizuri baadae wakazinguana jamaa akaendelea na maisha yake mengine
Anaona kama diamond alitokea tu