Umbumbu ndo unawasumbua, Clouds na Wasafi wala sio wanyonyaji hawa ni wafanya biashara na mfanya biashara yeyote lengo lake ni kupata faidi kubwa kadili iwezekenavyo Salaam SK anamsemo wake kwamba yeye hasindikizi mtu kwenye Utajiri, ukitegemea huruma toka kwa mfanyabiashara ujue umekwisha