Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

Ndio madhara ya jf kuruhusu hawa watoto wa shule ya msingi kujiunga humu. Hivi kweli kuvunja mkataba kuna unyonyaji hapo? Kuna wakati mwingne kukaa kimya ni bora kuliko kuongea na watu kujua kiwango chako cha upumbavu.
 
500 million tangia aiyola mpaka Kwangwalu mbona poa tu...!!! Kwenye mikataba kitu cha kawaida tu hapo unejiuliza WCB walitumia tsh ngapi tangia aiyola mpaka anasign out? Mchezaji hapo simba au yanga unaposikia amevunja mkataba huko kwa million 200 usishanga babu.
 
Maisha ni kama kusafiri barabarani. Kila mmoja na safari yake, na mwendo wake na mwisho wake. Haipaswi kukasirika inapotokea dereva mwingine amekupita kwa kasi, na wala haupaswi kushindana kwa mwendo ambao si wa kwako. “Kila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yake”
 
Uongozi wa wcb chini ya diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina chief mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita kiasi.
Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji, lakini wanachofanya wao bora hata clouds.
Msanii rich mavoko ameondoka coz ya kunyonywa, hamonaizi ameondoka na mdeni wa mil 500 mpaka kupelekea nyumba zake kupigwa mnada. Rayvanny na lava lava wanalalamika chini chini, na huenda huu mwaka usiishe watakuwa washajitoa.
Diamond c mtu mzuri, alimnyanyasa sana mwarabu fighter,. Pia ni lazma awanyonye kama baba yake tu aliemtoa kiunoni kwake alimnyanyasa ndo ije rayvany na mavoko.

Tubadilike jamani wcb
Umekurupuka mkuu! Umejizaraulisha sana kwa bandiko lako hili. Ukivunja mkataba lazima upigwe penalty.
 
Am free soul.
Hata me nakuunga mkono umeongea point kubwa sana siku zingine sijui unavutaga nn? Leo umeongea Kama boss lady unapokuwa ni role model wa zari ni lazima uige skills alizonazo ktk kuongoza biashara zake kwa mafanikio
 
Uongozi wa wcb chini ya diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina chief mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita kiasi.
Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji, lakini wanachofanya wao bora hata clouds.
Msanii rich mavoko ameondoka coz ya kunyonywa, hamonaizi ameondoka na mdeni wa mil 500 mpaka kupelekea nyumba zake kupigwa mnada. Rayvanny na lava lava wanalalamika chini chini, na huenda huu mwaka usiishe watakuwa washajitoa.
Diamond c mtu mzuri, alimnyanyasa sana mwarabu fighter,. Pia ni lazma awanyonye kama baba yake tu aliemtoa kiunoni kwake alimnyanyasa ndo ije rayvany na mavoko.

Tubadilike jamani wcb
Toa pumba zako hapa, unajua maana ya kunyonya au unaendeshwa na hisia mwenzi?,,,unajua maana ya mkataba na taratibu za kuterminate mkataba au unajua vipengele vilivyopo kwenye mkataba hadi ufikie hatua ya kusema wananyonywa?,,,mbona naona wamempiga hela ndogo maana alitakiwa atoe zaidi ya 3+ billion maana yeye ndo kataka kuterminate mkataba ko kuwa precise dogo ok.
 
Nina hakika huyu Harmonize ndiye atakayeangusha utawala wa Diamond, amini kwamba!
Mmmmmmmmmh unajitekenya na kucheka mwwnyewe kwani diamond ni mtawala......!!!!!diamond ni msanii ahaaaaaaaah na jiwe hawe nani.....?diamond wakumshusha ni Mungu tu na si binadamu yeyote maana harmonize hata kwa rayvanny hanusi.
 
Just don't be a cute puppy in a world whare dogs eats dogs
 
Uongozi wa wcb chini ya diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina chief mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita kiasi.
Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji, lakini wanachofanya wao bora hata clouds.
Msanii rich mavoko ameondoka coz ya kunyonywa, hamonaizi ameondoka na mdeni wa mil 500 mpaka kupelekea nyumba zake kupigwa mnada. Rayvanny na lava lava wanalalamika chini chini, na huenda huu mwaka usiishe watakuwa washajitoa.
Diamond c mtu mzuri, alimnyanyasa sana mwarabu fighter,. Pia ni lazma awanyonye kama baba yake tu aliemtoa kiunoni kwake alimnyanyasa ndo ije rayvany na mavoko.

Tubadilike jamani wcb
HAKUNA ALIESHIKIWA BUNDUKI KUSAINI MKATABA, NDIO MAANA MKATABA HUWA NA PANDE MBILI ZENYE MAKUBALIANO CHANYA JUU YA KILE WANACHOENDA KUKISAINI PAMOJA NA MASHAHIDI WA PANDE ZOTE MBILI, TATIZO LIKO HPA, WAKATI MSANII NI UNDERGROUND FOCUS KUBWA NI KUTOK NA KUWA NA JINA, WENGI WAKO KTK TABAKA LA CHINI NA LISILO NA KIPATO, WENGI ELIMU DUNI JUU YA UELEWA WA MIKATABA, FOCUS KUBWA NI KUTOKA, KUWA NA JINA ALAFU BAADAE NDIO NITENGENEZE PESA, HII TRANSITION NDIO HUANZA KULETA MATATIZO, UELEWA WA MTU MWENYE AFYA NZURI YA AKILI HUBADILIKA NA KUWEZA KUCHAMBUA MAMBO KWA MAPANA NA NDIPO KIINI CHA MIGONGANO NA MISUGUANO HUANZA BAINA YA MSANII NA LEBO, BAADHI YA MATAKWA YANAKUWA MAGUMU KUTEKELEZEKA NA HAPO NDIPO MSUGUANO WA KUVUNJA AMA KUREKEBISH MKATABA HUANZA,BAHATI MBAYA SANA MKATABA NI SIRI, BAHATI MBAYA SANA HASARA MARA NYINGI HUWA KWA MSANII NA SI LEBO, BAHATI MBAYA SANA MASHABIKI HUMTIZAMA ALIEMTOA MSANII KTK VERY POSITIVE WAY (WITH FUCKING AND CONCLUSIVE ANSWER WITHNO RESEARCH OR PROOF) KUWA HANA MAKOSA YOYOTE, WASANII WENGI HAWAELEWEKI TENA KWA MASHABIKI, HAWAELEWEKI KWA JAMII NA NDIO HUPATA NEGATIVE IMAGE KUBWA SANA KTK KUJITOA AMA KUVUNJA MKATABA. LAITI MITIZAMO IBADILIKE JUU YA MASAKATA HAYA YA WASANII KUVUNJA MKATABA TASNIA ITAFIKA MBALI, ZAIDI MASHABIKI WENGI SIKU HIZI WANAPENDA SANA LEBO KULIKO UHALISIA WA MZIKI, WANAPENDA SANA LEBO KULIKO WANAMUZIKI, AS LONG AS MSANII YUKO KTK LEBO FULANI BASI YEYE ATAMSHABIKIA ILA AKITOKA MZIKI WAKE HATOFATILIA, HUU NI UNAFIKI NA UZANDIKI WA HLI YA JUU KWA VIJANA WA KISASA, YUKO WAPI BARAKA, MAVOKO, BELLA ENOCK, MENGI YANATOKEA KAMA FUNZI STILL WATU HAWAZINGATII, SOKO LA MUZIKI WA BONGO LIMEJAA UNAFIKI, FITINA, NA MAJUNGU YASIYO NA MSINGI NDIO MAANA KUTOBOA KUNAKUWA KUGUMU, ATLEAST MIAKA INGERUDI NYUMA ULE MZIKI WA BONGOFLEVA WA MIAKA YA 1996-2007 INGEWEKZWA VEMA LEO HII TUNGESHAKUWA NA GRAMMY KWA WASANII ZAIDI YA 20, ILA KWA SABABU MZIKI UMEKASIMIWA NA MAJUHA WENGI, NA MASHABIKI MAANDAZI WALIO JAA MAHABA KAMA KAHABA NA GUEST, BASI NYEUSI ITASEMWA NYEUPE NA NYEUPE ITASEMWA NYEUSI, HYWEZI LETA USHINDANI IKIWA MTARUHUSU WALIO JUU WAWE WACHACHE, LEO HII KILA MSANII AKITOKA PARAMETEE OF MEASUREMENTS NI ALI NA MOND, MEN C'MON MOND IS HERE ON MUSIC FOR 10 YEARS, ALI IS THERE OF 14 YEARS WHAT THE https://jamii.app/JFUserGuide ARE YOU COMPARING A NEWBIE WITH LEGENDS, GIVE THE NEWBIES TIME AND WINGS TO FLY SO THEY GIVE OUT THEIR TALENT TO THE WORLD, ENJOYING THE WORLD AND THEIR TALENTS GIVEN BY GOD, BUT INAKUWA KINYUME KWA BONGO, MAJUNGU MAJUNGU KWA SANAAAAA, NCHI INA WATU ZAIDI YA MIL.6O UNA LEBO SIJUI MBILI SIJUI TATU, IKIJARIBIWA KUUNDWA LEBO NYINGINE INAANZA FITINA NA NONGWA ?? HUU SI NDII UCHAWI WA KIJERUMANI KABISAA?? YAANI MASHABIKI HAWATAKI LEBO ZIONGEZEKE, ZIKIANZA ZINAANZA KUSHINDANISHWA NA LEBO KONGWE AS IF HIZI MPYA ZILIKUWEPO. THIS IS F***STUPIDITY KWA MASHABIKI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA, WENGINE WAMO HUMU JF WAFIKISHIENI TAARIFA MASHABIKI NA WENGINE WENYE DHAMAN YA HUU MZIKI, KUFIKIA LEVO ZA NIGERIA NI NGUMU KAMA KANGAROO KUZAA WATOTO WAWILI WAKATI ANA MFUKO MMOJA WA KUHIFADHIA MTOTO MMOJA. MASHABIKI, BIFU ZA KISENGE, CHUKI BURE NA UNAFIKI UNAUA TASNIA YA BONGO, BUREEEE KABISAA KWA WANAOFANYA HIZI MAMBO TENA WENGINE WANA DHAMANA KABISA YA HUU MZIKI, KUMUUA MSANII MMOJA ILI MMPANDISHE MWINGINE HAIKUZI MZIKI ILA INABOMOA KABISA, KUUA LEBO MOJA ILI IBAKI MOJA HAIKUZI MZIKI ILA INAZIDI KUFANYA WALIO MTAANI WENYE VIPAJI WASIPATE PLATFORM, KUANZISHA MEDIA MOJA ILI UUE MEDIA NYINGINE ILIYOPO HAIKUZI MZIKI INAJENGA MONOPOLY MPYA ITAKUWA NA MAKUCHA SAWA NA ILE MEDIA BEPARI YA ZAMANI, NA ZAIDI AKIFKIA LEVEL YA SELF ACTUALIZATION NDIPO HAKUNA RANGI WASANII WATAACHA KUIONA SO THE CIRCLE CONTINUES TILL THE END UNTIL WATAKAPOAMUA KUTOKA KTK HII CIRCLE THEN THE BONGO AND FLEVA SHALL PROPELL TO THE WOLRD.
 
mtu alikuwa mmachinga kachuliwa, kapata jina,kaimba kapata jina...kahama label kadaiwa million 500 kalipa kabakia na hela ya kutembea na ulinzi kufungua mgahawa wa kulisha watu miezi 6...

Mtu huyu mnasema kanyonywa!mnasema wcb km clouds sawa mtaje msanii yeyote wa clouds alijenga jina km harmonise na kuachana na clouds akawa na pesa km harmonise?
 
Mtu yeyote akidili na Wasanii ataishia kulaumiwa tu.

Matarajio ya Wasanii huwa ni ya juu sana kuliko hali halisi, wengi wanaongozwa na hisia (assumptions), we sikiliza Wasanii wanaoanza (underground) wakihojiwa, mara nyingi utawasikia wakihojiwa TBC...wengi wanakazana kuonyesha kwamba wana uwezo mkubwa sana ila wanachokosa ni support tu, baadae ukija kusikia anachoimba unabaki mdomo wazi...sasa ujitoe mhanga kumsaidia asipofikia hizo 'alinacha' zake lawama zote ni kwako.

Kumbuka hata yule Dogo wa Arusha wakati ule mpaka akawatungia wimbo wa kuwalaumu walewale waliomtoa Arusha kumpeleka Dar wakijaribu kumsupport, baada ya kuona kila anachoota hakitokei....hakujua inahitajika subira badala yake wale wale wanaomlea wakageuka maadui wa sanaa yake.
 
Back
Top Bottom