Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2020
Posts
3,443
Reaction score
4,006
Wakuu,
NSSF BUNGE la Jamguri wa muungano wa Tanzania
Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:<
1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji?
2. Kwanini riba ya michango inafanywa kwa kipindi kisichozidi miaka kumi wakati wachangiaji wengine wanafikisha mpaka miaka 15, 20, 30 nk?
3. Kwanini hairuhusiwi mchangiaji kuchukua michango yake kwa miaka inayozidi miaka kumi ikamsaidia wakati angali ana nguvu na hai badala ya kusubiri ama aachishwe kazi au justaafu wakati ni mali yake halali ambayo antakiwa na haki ya kuipangia mipango mwenyewe badala ya serikali inayosababisha usmbufu wakati wa ufuatiliaji mafao yao?
4. Kwanini wachangiaji hai wa mifuko ya kijamii huwa hawanufaiki na miradi inayorudisha faida hazina wakati serikali inaitumia bila kuomba kibali kutoka kwa wachangiaji wake?

Ongeza na mengine mengi yanayowachefua wachangiaji.....
 
Back
Top Bottom