Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa Democrats wanalalamika X kumbeba Trump na kukandamiza taarifa zao leo siku ya uchaguzi.
Leo siku ya uchaguzi hofu imezidi kuwangia Democrats na wamezidi kulalama baada ya taarifa kusambaa kwamba mmiliki wa X Elon Musk atalala kwa Trump wakiwa wanasubiria matokeo ya uchaguzi mapema, hii ni kwa kuzingatia kwamba Elon Musk ana nguvu kubwa za kuamua namna taarifa za X zinvyoweza kutolewa au kupatikana.