SI KWELI Unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho husababisha ugumba

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
KUHUSU POMBE,SHIRIKA LA AFYA DUNIANI LINAONYA.
 

Attachments

  • images (95).jpeg
    35.6 KB · Views: 3
  • images (96).jpeg
    54.9 KB · Views: 3
Aliyekwambia maneno hayo ni mtu mjinga sasa, narudia ni mtu mjinga sana. Mimi hapa naandika nikiwa nakunywa beer na nitaendelea kunywa beer kila wakati ninapohitaji. Ninawashauri wanaume wote watanzania na wasio watanzania wahakikiashe wanakunywa beer kila siku ili kujiepusha na maongo wa mawazo unaosababishwa na wanawake
 

Attachments

  • IMG_20240916_221935_575.jpg
    2.7 MB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…