Unywaji Wa maji kupita kiasi.

Kama huna ugonjwa wa kisukari, basi nakushauri nenda Muhimbili ukapime ufanyaji kazi wa grand yako ya Thyroid wenda ikawa inafanya kazi chini ya kiwango - watapima damu yako na kujua kama Thyroid ina tatizo au la - natoa ushauri tu, usipuuzie.
Shukrani sana mkuu. Nikipata majibu ya sukari basi nitajua nifanye nini, mkuu ila itakuwa rahisi kupenya muhimbili kupima hii kitu kweli?
 
ila mtoa mada nakusifu kwa upole,majibu yote ya kebei tunayobupa we unajibu kistaarabu tu hongera
Mkuu tumeambiwa tuwe wapole kama hua/njiwa ila werevu kama nyoka. Asante kwa mchango wako mkuu mdukuzi.
 
Possibly it can be kisukari, au Msongo wa mawazo. Vyote hivyo husababisha mwili kuhisi kiu na mdomo kukauka, kisukari husababisha pia kukojoa mara kwa mara. Tafadhali kamwone daktari
 
Unaweza kuwa na matatizo ya figo, au misuli yakuzuia kibofu cha mkojo imelegea, nenda kamwone daktari
 
Kapime sukari kwenyedamu huenda una kisukari, kwasasa punguza au acha kabisa soda, bia, sukari hadi itakapofahamika ni nini
 
Mkuu twende hospitali kwa msaada zaidi, hata hivo Leo jioni nkiwahi naenda hospitali, nikichelewa kesho mbio asubuhi.
WAHI MKUU.MI NILIANZA KUNYWA MAJI LITA 5-7 MWISHO WA YOTE PRE DIABETES PATIENT.ILA NAMSHUKURU MUNGU NIPO NJEMA
 
Vip ujawa mweupe? Ray alisema watu wakaangaika na ndoo za maji waaap vip kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…