Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Nimesoma ndio maana nmemwambia apime kipimo cha kucheki sukari cha muda mrefuUmesoma andiko lake lote?Amesema akishapima Sukari-Hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma ndio maana nmemwambia apime kipimo cha kucheki sukari cha muda mrefuUmesoma andiko lake lote?Amesema akishapima Sukari-Hana
Nimesoma ndio maana nmemwambia apime kipimo cha kucheki sukari cha muda mrefu
Shukrani sana mkuu. Nikipata majibu ya sukari basi nitajua nifanye nini, mkuu ila itakuwa rahisi kupenya muhimbili kupima hii kitu kweli?Kama huna ugonjwa wa kisukari, basi nakushauri nenda Muhimbili ukapime ufanyaji kazi wa grand yako ya Thyroid wenda ikawa inafanya kazi chini ya kiwango - watapima damu yako na kujua kama Thyroid ina tatizo au la - natoa ushauri tu, usipuuzie.
Possibly it can be kisukari, au Msongo wa mawazo. Vyote hivyo husababisha mwili kuhisi kiu na mdomo kukauka, kisukari husababisha pia kukojoa mara kwa mara. Tafadhali kamwone daktariWasalam,
Madaktari naomba msaada, nimekuwa nakunywa maji na kukojoa kila wakati. Kiu inakuwa Kali kiasi nahisi kuchanganyikiwa midomo inakuwa kama imekauka hivi na dawa pekee ni maji, nakunywa maji hadi Lita 6 kwa siku. Nikinywa maji nahisi kabisa tumbo limejaa lakini bado kiu inakuja Kali.
Ratiba ya maji kama Inavyopendekezwa na wadau humu ndani nashindwa kabisa kuifuata, huwa naanza vizuri asubuhi tu kwa kunywa glasi moja ya maji ya moto, Mara baada ya kupata chai ndio shida inaanza hapo, nitakunywa maji mfuliluzo hadi mida ya lunch nikimaliza kula nakunywa maji endlessly hadi jioni na Nikila chakula cha jioni ni kiu Kali ya maji , nimekuwa nikilala SAA 6-7 sababu ya usumbufu Wa kukojoa na nahitajika kuamka kila wakati,
Nahisi nakojoa kupita kiasi cha maji ninayo kunywa... Hili lilianza 2013 lakini nilipima sukari na kukutwa sina, nimebahatika kupata watoto wawili, kipindi chote cha ujauziti huwa sinywi maji na wala huwa sina kiu km sasa.
Nawaombeni msaada nimetoa hayo maelezo ili muweze kunishauri vizuri. Asanteni.
Unaweza kuwa na matatizo ya figo, au misuli yakuzuia kibofu cha mkojo imelegea, nenda kamwone daktariHali hii si ya kawaida, hebu wenye msaada juu hili mtusaidie tujue.
Kitu kingine umenikumbusha Mimi mwenyewe mwili wangu hauna uwezo wa kustahimili maji hata glass moja lazima nikojoe tu, haijalishi ninasweat au vip, bado maji huwa hayakai mwiliini, na kwa upande wangu nisaidieni, wakuu
Kapime sukari kwenyedamu huenda una kisukari, kwasasa punguza au acha kabisa soda, bia, sukari hadi itakapofahamika ni niniWasalam,
Madaktari naomba msaada, nimekuwa nakunywa maji na kukojoa kila wakati. Kiu inakuwa Kali kiasi nahisi kuchanganyikiwa midomo inakuwa kama imekauka hivi na dawa pekee ni maji, nakunywa maji hadi Lita 6 kwa siku. Nikinywa maji nahisi kabisa tumbo limejaa lakini bado kiu inakuja Kali.
Ratiba ya maji kama Inavyopendekezwa na wadau humu ndani nashindwa kabisa kuifuata, huwa naanza vizuri asubuhi tu kwa kunywa glasi moja ya maji ya moto, Mara baada ya kupata chai ndio shida inaanza hapo, nitakunywa maji mfuliluzo hadi mida ya lunch nikimaliza kula nakunywa maji endlessly hadi jioni na Nikila chakula cha jioni ni kiu Kali ya maji , nimekuwa nikilala SAA 6-7 sababu ya usumbufu Wa kukojoa na nahitajika kuamka kila wakati,
Nahisi nakojoa kupita kiasi cha maji ninayo kunywa... Hili lilianza 2013 lakini nilipima sukari na kukutwa sina, nimebahatika kupata watoto wawili, kipindi chote cha ujauziti huwa sinywi maji na wala huwa sina kiu km sasa.
Nawaombeni msaada nimetoa hayo maelezo ili muweze kunishauri vizuri. Asanteni.
Mimi nakushairi ubebe ujauzito tena
Samahani nilifikir wewe ni me[emoji15] [emoji15] [emoji780] [emoji780] [emoji780]
AKAPIME TENA NA TENAMsome kwanza, anasema alishapima, Hana.
Hahahaaaa...Hopeless, wanawake Wa huki kwenu wanajaza wenzao mimba!?
WAHI MKUU.MI NILIANZA KUNYWA MAJI LITA 5-7 MWISHO WA YOTE PRE DIABETES PATIENT.ILA NAMSHUKURU MUNGU NIPO NJEMAMkuu twende hospitali kwa msaada zaidi, hata hivo Leo jioni nkiwahi naenda hospitali, nikichelewa kesho mbio asubuhi.
Duuu ntachukua hatua juu ya hiliUnaweza kuwa na matatizo ya figo, au misuli yakuzuia kibofu cha mkojo imelegea, nenda kamwone daktari
sina tatizo lakiniMkuu twende hospitali kwa msaada zaidi, hata hivo Leo jioni nkiwahi naenda hospitali, nikichelewa kesho mbio asubuhi.