Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
489
Reaction score
386
Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa.
Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase, kimeng'enya kinachohitajika kusaga maziwa, kwani kimsingi ni watu ambao mababu zao walitoka sehemu ambazo mifugo ya maziwa inaweza kufugwa kwa usalama na kiuchumi, kama vile huko Uropa, ambao wamekuza uwezo wa kusaga maziwa na hapa wakiangalia wakigusia adhari hizo za ki-DNA zimetokea kabla ya 1900.

Ingawa watoto wote wa mamalia hunywa maziwa ya mama zao, wanadamu ndio mamalia pekee ambao hunywa maziwa wakiwa watu wazima.

Ila watu wa asili ya kaskazini mwa Ulaya, Wana uwezo wa kuzalisha kimeng'enyo hivyo uwapa sababu ya kunywa maziwa katika maisha yao.

Ni ukweli usiopingika ya kuwa Kila kiumbe kimepewa utaratibu wake wa kula mfano ndege wanatofautiana kwenye vyakula hivyo hivyo kwa wanyama walao majani nk seuze kwa binadamu hivyo kutokana na georgrafia na sababu nyingine za kimaumbile kama rangi, nywele, vimo, nk kwanini isiwe kwenye vyakula pia.
Kuna utafiti uliofanywa nchini Marekani imebaini yakuwa kutokana fast foods kuwa ndio mlo unaliwa na wengi ila imeonekana kuwaadhiri zaidi watu wenye asili ya Afrika na Asia zaidi ndio wanoongoza kwa magonjwa yatokanayo ni kuongezeka uzito wa mwili kupita kiasi.

Source: The Cornell university and many other​
 
Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunya maziwa.

Source: The Cornell university and many other
Kweli kuandika ukaeleweka ni kipaji kama vipaji vingine.
Wewe umeelewa lakini?
 
By the way,nina kubaliana na wewe kabsa,hii issue ya mazingira iko na effects kubwa sana that's why sisi tunabaki na matatizo kila uchwao kutokana na kuiga lifestyle za watu wa magharibi,mantik yangu ni kwamba tuishi na uhalisia wetu,si ajabu ukakutana na mtu anaenda kununua nyama ya kwenye packets tena ilo chemshwa kabsa anaokoa muda kwa mawazo yake, wakati tuna msasa nyama ilochemshwa na kuanikwa vizuri,so ni muda wa Africans to be aware na hizi desturi zetu,ni nzuri mno
 
Wewe ni dr kweli? Au ndo udocter wa kupeana ule?? Maziwa protein haina ishu tena umetupga kamba maaaayo.
 
Wewe ni dr kweli? Au ndo udocter wa kupeana ule?? Maziwa protein haina ishu tena umetupga kamba maaaayo.
 
Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa.
Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase, kimeng'enya kinachohitajika kusaga maziwa, kwani kimsingi ni watu ambao mababu zao walitoka sehemu ambazo mifugo ya maziwa inaweza kufugwa kwa usalama na kiuchumi, kama vile huko Uropa, ambao wamekuza uwezo wa kusaga maziwa na hapa wakiangalia wakigusia adhari hizo za ki-DNA zimetokea kabla ya 1900.

Ingawa watoto wote wa mamalia hunywa maziwa ya mama zao, wanadamu ndio mamalia pekee ambao hunywa maziwa wakiwa watu wazima.

Ila watu wa asili ya kaskazini mwa Ulaya, Wana uwezo wa kuzalisha kimeng'enyo hivyo uwapa sababu ya kunywa maziwa katika maisha yao.

Ni ukweli usiopingika ya kuwa Kila kiumbe kimepewa utaratibu wake wa kula mfano ndege wanatofautiana kwenye vyakula hivyo hivyo kwa wanyama walao majani nk seuze kwa binadamu hivyo kutokana na georgrafia na sababu nyingine za kimaumbile kama rangi, nywele, vimo, nk kwanini isiwe kwenye vyakula pia.
Kuna utafiti uliofanywa nchini Marekani imebaini yakuwa kutokana fast foods kuwa ndio mlo unaliwa na wengi ila imeonekana kuwaadhiri zaidi watu wenye asili ya Afrika na Asia zaidi ndio wanoongoza kwa magonjwa yatokanayo ni kuongezeka uzito wa mwili kupita kiasi.

Source: The Cornell university and many other​
Upo sahihi sana mkuu.

Tusubir propaganda na siasa za wataalamu.

Sababu ya binadamu kuendelea kunywa maziwa ya wanyama wengine ni biashara mkuu.
Ni biashara ambayo kuna watu wanaishi kwa kutegemea hiyo biashara.
 
Hapa nimegusa kidogo kwenye maziwa, vipi mayai, nyama nk Kuna watu watatukana hapa.
 
Ok nmeisoma Dr, ngumu kumeza lakini japo najua dairy products zinaongeza speed digestion system
 
Hapa nimegusa kidogo kwenye maziwa, vipi mayai, nyama nk Kuna watu watatukana hapa.
Ni uelewa wa kawaida tu.
Swali jepesi kwann unywe maziwa?

Niliwahi kusema humu waafrika inatubidi tufute yote tuliyofundishwa kipindi cha utumwa na tukiwa kama watumwa Tuanze kujifunza mambo ambayo hawakutaka tujifunze.

Watu ambao walizungimzia kuhusu maziwa wengine wamesha potezwa na wengine platfform zao zimepigwa pin zisiwafikie watu wengi.
 
Dr. , Je, ni kweli kuwa maziwa (Fresh) huzuia ufyonzaji wa baadhi ya madini mwilini? (Yanaponywewa mara kwa mara).
 
Back
Top Bottom