Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

By the way,nina kubaliana na wewe kabsa,hii issue ya mazingira iko na effects kubwa sana that's why sisi tunabaki na matatizo kila uchwao kutokana na kuiga lifestyle za watu wa magharibi,mantik yangu ni kwamba tuishi na uhalisia wetu,si ajabu ukakutana na mtu anaenda kununua nyama ya kwenye packets tena ilo chemshwa kabsa anaokoa muda kwa mawazo yake, wakati tuna msasa nyama ilochemshwa na kuanikwa vizuri,so ni muda wa Africans to be aware na hizi desturi zetu,ni nzuri mno
Khaaaah! Mtoa Mada ni Dr Luu na ww ni doctor of Philosophy. Hivi kweli nyie wasomi hamtutambui ss Wamasai na tena hamjui chakula chetu toka utotoni hadi uzeeni? Huko mjini hamuwaoni akina Yeyoo wamebeba vile vibuyu vidogo "murghet'" na watoto mgongoni? SSshyeee!! Tabhala royiii (in maasai voice)
Sikatai kwamba wapo watu ambao miili yao haipatani na ulaji wa maziwa na mmesema hapo juu na ni kweli case za Lactose intolerance zipo. Sasa niwaulize, inakuwaje tatizo la mtu mmoja au watu wachache linawekwa kana kwamba ni kwa wote?eti Africans &Asians. Huwezi kutoa "a blanket statement" kwa kuinukuu Tafiti (Research) moja tu ya chuo kimoja tena cha Cornell cha huko Marekani kana kwamba hapa bongo (Tz)hatuna vyuo vikuu. Nyie madokta hamuoni kwamba Mada inapingana na Hamasa inayotolewa siku zote isemayo "Kunywa maziwa kwa Afya yako" na imesambaa sana ndani ya Jamii ya waTz? Oh! ngoja niishie hapo. Nikiendelea nitawakwaza wengi.
 
Huyo ni mteja wako mtarajiwa na Ameuliza maziwa fresh HUZUIA.....
(Kuzuia sio sawa na Kupunguza. Hivyo ni vitu viwili Tofauti)
Asante kwa kunielewa mkuu🙏🏽
Kuna daktari aliwahi kushauri kupunguza unywaji wa maziwa fresh kwa madai kuwa unywaji wa maziwa fresh frequently huzuia ufyonzwaji wa baadhi ya madini, mfano Madini ya chuma.

Kwa namna alivvyonijibu daktari, inawezekana hayazuii ila yanapunguza.
 
Navyojua maziwa ya ng'ombe hasa mtindi yana faida ikiwemo ongezeko la nguvu za kiume

chukua maziwa, viazi vitamu, karanga, nazi...

hio milo ni tamu sana
 
Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa.
Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase, kimeng'enya kinachohitajika kusaga maziwa, kwani kimsingi ni watu ambao mababu zao walitoka sehemu ambazo mifugo ya maziwa inaweza kufugwa kwa usalama na kiuchumi, kama vile huko Uropa, ambao wamekuza uwezo wa kusaga maziwa na hapa wakiangalia wakigusia adhari hizo za ki-DNA zimetokea kabla ya 1900.

Ingawa watoto wote wa mamalia hunywa maziwa ya mama zao, wanadamu ndio mamalia pekee ambao hunywa maziwa wakiwa watu wazima.

Ila watu wa asili ya kaskazini mwa Ulaya, Wana uwezo wa kuzalisha kimeng'enyo hivyo uwapa sababu ya kunywa maziwa katika maisha yao.

Ni ukweli usiopingika ya kuwa Kila kiumbe kimepewa utaratibu wake wa kula mfano ndege wanatofautiana kwenye vyakula hivyo hivyo kwa wanyama walao majani nk seuze kwa binadamu hivyo kutokana na georgrafia na sababu nyingine za kimaumbile kama rangi, nywele, vimo, nk kwanini isiwe kwenye vyakula pia.
Kuna utafiti uliofanywa nchini Marekani imebaini yakuwa kutokana fast foods kuwa ndio mlo unaliwa na wengi ila imeonekana kuwaadhiri zaidi watu wenye asili ya Afrika na Asia zaidi ndio wanoongoza kwa magonjwa yatokanayo ni kuongezeka uzito wa mwili kupita kiasi.

Source: The Cornell university and many other​
Hii mada ni Elimishi lakini inaacha maswali mengi sana bila majibu na hata yale majibu yanayotolewa kwa baadhi ya hoja yanaleta wasiwasi wa Ingenuity wa mtoa mada. Kwa mfano (1)mtoa mada anasema: ingawa watoto wote wa mamalia hunywa maziwa ya mama zao, wanadamu ndio mamalia pekee ambao hunywa maziwa wakiwa watu wazima.
Kwa kauli hii 👆 👆 nina wasiwasi kwamba Dr. Luu hajui na hajawahi kuona mbwa, paka, nguruwe na mbuzi waliokomaa (adults)wakipewa maziwa au wakiyafuma mahali hayo maziwa lazma wayamalize. Ni sisi wanadamu-wafugaji tunawazuia kwa sababu zetu binafsi. Dr. Luu hajui kwamba Taasisi za Kiafya zinatoa ushauri kwamba watu bila ubaguzi kwamba inafaa sana mgonjwa aliyeruhusiwa Hospitali awe anatumia maziwa mara kwa mara ili kurejesha afya yake mapema.
Kwa mfano(2)....Kila kiumbe kimepewa utaratibu wake wa kula mfano ndege wanatofautiana kwenye vyakula hivyo hivyo kwa wanyama walao majani nk seuze kwa binadamu..... kwenye vyakula pia.
Kauli kama hii inafikirisha sana kwani Je, ni kweli Dr. hajawahi kula mchicha ambao ni majani na ng'ombe anakula majani. Je mwenzetu ugali hajakutana nao na kujua ni unga wa mahindi (punje)ambayo kuku, ng'ombe, mbuzi ni chakula chao pia. Hapana aisee Dr. naomba usichemke kiasi hicho. Labda kama ni Dr. wa mitishamba Ok. Namwomba samahani. Lakini kama ni Dr. Professional (Md) au PhD holder Dhah! Kazi tunayo aisee.Hao ndo tusithubutu kuwapa nchi - watatumaliza zaidi ya wanaoteka watu na kuwapoteza.
 
Asante kwa kunielewa mkuu🙏🏽
Kuna daktari aliwahi kushauri kupunguza unywaji wa maziwa fresh kwa madai kuwa unywaji wa maziwa fresh frequently huzuia ufyonzwaji wa baadhi ya madini, mfano Madini ya chuma.

Kwa namna alivvyonijibu daktari, inawezekana hayazuii ila yanapunguza.
Sawa kabisa. Hayazuii bali HUPUNGUZA tuu na tena sio kwa wote wanaokunwa maziwa eg.. Huku Umasaini watu wazima (Adults au wazee) hunywa maziwa Lita moja (1 lt.) kwa mlo mmoja na Tena hawa huwa wana vibuyu vyao special na utaratibu maalum wa kuyatunza isijekufanyika kosa la "mtoto ameyatumia au eti ndama amemwaga"
 
Wewe kula chochote ilimradi unakifurahia na hakikudhuru kwa muda huo....! Hayo madhara ya baadae huwezi yaepuka maana yapo kwenye kila chakula...! Tukifuata ushauri wako itabidi tuache kula kabisaa
 
Hii mada ni Elimishi lakini inaacha maswali mengi sana bila majibu na hata yale majibu yanayotolewa kwa baadhi ya hoja yanaleta wasiwasi wa Ingenuity wa mtoa mada. Kwa mfano (1)mtoa mada anasema: ingawa watoto wote wa mamalia hunywa maziwa ya mama zao, wanadamu ndio mamalia pekee ambao hunywa maziwa wakiwa watu wazima.
Kwa kauli hii 👆 👆 nina wasiwasi kwamba Dr. Luu hajui na hajawahi kuona mbwa, paka, nguruwe na mbuzi waliokomaa (adults)wakipewa maziwa au wakiyafuma mahali hayo maziwa lazma wayamalize. Ni sisi wanadamu-wafugaji tunawazuia kwa sababu zetu binafsi. Dr. Luu hajui kwamba Taasisi za Kiafya zinatoa ushauri kwamba watu bila ubaguzi kwamba inafaa sana mgonjwa aliyeruhusiwa Hospitali awe anatumia maziwa mara kwa mara ili kurejesha afya yake mapema.
Kwa mfano(2)....Kila kiumbe kimepewa utaratibu wake wa kula mfano ndege wanatofautiana kwenye vyakula hivyo hivyo kwa wanyama walao majani nk seuze kwa binadamu..... kwenye vyakula pia.
Kauli kama hii inafikirisha sana kwani Je, ni kweli Dr. hajawahi kula mchicha ambao ni majani na ng'ombe anakula majani. Je mwenzetu ugali hajakutana nao na kujua ni unga wa mahindi (punje)ambayo kuku, ng'ombe, mbuzi ni chakula chao pia. Hapana aisee Dr. naomba usichemke kiasi hicho. Labda kama ni Dr. wa mitishamba Ok. Namwomba samahani. Lakini kama ni Dr. Professional (Md) au PhD holder Dhah! Kazi tunayo aisee.Hao ndo tusithubutu kuwa nchi - watatumaliza zaidi ya wanaoteka watu na kuwapoteza.
Hapo kwenye upekee wa chakula Dr. amesahau kwamba kuna makundi haya:-
-Herbivores
-Carnivores
-Omnivores
 
Khaaaah! Mtoa Mada ni Dr Luu na ww ni doctor of Philosophy. Hivi kweli nyie wasomi hamtutambui ss Wamasai na tena hamjui chakula chetu toka utotoni hadi uzeeni? Huko mjini hamuwaoni akina Yeyoo wamebeba vile vibuyu vidogo "murghet'" na watoto mgongoni? SSshyeee!! Tabhala royiii (in maasai voice)
Sikatai kwamba wapo watu ambao miili yao haipatani na ulaji wa maziwa na mmesema hapo juu na ni kweli case za Lactose intolerance zipo. Sasa niwaulize, inakuwaje tatizo la mtu mmoja au watu wachache linawekwa kana kwamba ni kwa wote?eti Africans &Asians. Huwezi kutoa "a blanket statement" kwa kuinukuu Tafiti (Research) moja tu ya chuo kimoja tena cha Cornell cha huko Marekani kana kwamba hapa bongo (Tz)hatuna vyuo vikuu. Nyie madokta hamuoni kwamba Mada inapingana na Hamasa inayotolewa siku zote isemayo "Kunywa maziwa kwa Afya yako" na imesambaa sana ndani ya Jamii ya waTz? Oh! ngoja niishie hapo. Nikiendelea nitawakwaza wengi.
 
Ukiitoa habari huko uitoako ihariri, hiki ni kiswahili cha bibisii au dochewele kabisa hiki..
 
Wahenga waliisha tuimbia na kutuhimiza
Kuleni kuku, mayai, mboga, samaki, maziwa na kujenga nyumba safi pa kulala pawe bora...
 
Kuact as an inhibitor ni kupunguza ama kuzuia kabisa, je, maziwa hupunguza ama huzuia kabisa?
Hupunguza. Tena sio kwa kila mtu ni kwa baadhi ya watu tu. Na tatizo hilo laweza kuwa la muda tu au kwa maisha yote.
Kiasi cha 68% ya watu wazima (adults) duniani huweza kujikuta wana changamoto hiyo ya upungufu wa Uwezo wa ku-digest aina ya sukari iitwayo Lactose ipatikanayo kwenye maziwa. Hili ni kutokana na mwili wa mhusika kupungukiwa na uwezo wa kuzalisha aina ya kimeng'enya (Enzyme) iitwayo Lactase.
Watoto wadogo wanazaliwa wakiwa na uwezo mkubwa wa kuzalisha enyme ya Lactase lakini kadri wanavyokua (grow-up) uwezo huo nao hupungua -wengine hupungua kiasi kikubwa mno na hao ndo wenye tatizo la Lactose intolerance ukubwani lakini wengine huendelea kuwa na uwezo huo hata wakiwa wakubwa adults. Kwa mantiki hiyo watu wazima (adults) hutofautiana kwa viwango tofauti na pia eneo mtu alikokulia e.g. huku kwa wafugaji ni nadra sana au ni mara chache sana kukutana na tatizo hilo.
 
Wahenga waliisha tuimbia na kutuhimiza
Kuleni kuku, mayai, mboga, samaki, maziwa na kujenga nyumba safi pa kulala pawe bora...
Huu 👆 👆 ndo ukweli ila naona dokta amekuja kivingine.
 
Umetumia sijui translator gani?
 
Back
Top Bottom