Uchaguzi 2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata


Unajua hata serikali ikiamua kuwapa million moja wananchi kila mwezi bado utabaki kua maskini,na kibaya zaidi utakua maskini zaidi ya ulivo sasa
 
Hata usipoendelea imeeleweka cha muhimu ni maamuzi kwa sas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na Majina utafanya nini wewe Kiropozi. Jaribu uone utakavyochakazwa.

Majukwaa ya Kijamii yanawaficha wengi.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Tuendelee au Tusiendeleee ?
 
Hivi kabla ya 2015 kulikuwa na waajiriwa SGR, BWAWA LA UMEME, MFUGALE BRIDGE, UBUNGO INTERCHANGE, DALAJA JIPYA LA SARENDA, UJENZI WA VYELEZO NA MELI, UJENZI WA MAKAO MAKUU DODOMA NA IKULU, NGEGE (mainjinia, marubani, maatendants, wakata tiketi, food suppliers etc), ujenzi wa mahospital na mashule; to mention but a few. Ajira gani unasemea?

(Majina ya Polisi wote waliotumika tunayo)
Utayafanyia nini? Hii ni miaka mitano tangu uwe nayo umeyatumiaje?

Au wewe ni CCM unatikisa kiberiti ili ujuwe unakubalikaje? Na hisi ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…