Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Hello JF members,

Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine.
Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani

👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu japokuwa anaumia moyoni , ilimradi tu amfurahishe mkubwa wake kazini.

👉Maandamano mengi yaliyo serious yanazimwa na bom au risasi moja tu 😂 hii nimeishuhudia mara nyingi ndio maana hatuna uwezo wa kuipinga dola kwa namna yoyote.

👉 Tanzania ipo kwenye nchi top twenty duniani , katika list ya nchi zenye low IQ people. IQ ndogo inawapelekea Watanzania wengi wanashindwa ku take risk.

👉Unaweza pia ukaongeza fact hapa , karibuni.
 
Tatizo Waanzisha Maandamano huwa wanayaanzishia kwa kutumia keyboard mitandaoni kama kina Mange Kimambi,
Frontline viongozi hawaonekani, wanataka kina 'Asha ngedere' na 'Mwajuma ndala ndefu' ndo waingie Barabarani Wapi na wapi?
 
Watanzania wana high IQ ndio maana huwezi kuwaburuza kwenye maandamano ili wakatenguliwe viuno kwa ajili ya ulaji wa watu wakubwa wachache !!

Watu wengi wanatafutaga their daily bread mahali pao pa kazi !
Sio bandarini tu !!

Waandamane wenye kuingiza makontena na kusafirisha makontena maana wao ndio wanufaika na wapambe wao hapo bandarini !!
 
Back
Top Bottom