Uonevu kwa raia na manyanyaso

Mimi huwa napenda kujifunza kwa wanajeshi, Usionee mtu hadi awe ameingia kwenye anga zako

Tungetafutana mtaani tu
 
Inawezekana ninashida ila baada ya kuniachia niliacha begi langu na kwenda pembeni ya mtaro nikitafakari akaja mmoja na begi langu huku akinisihi siyapuuze kwani wanadam wanakosea.
aliyekuja ni mmoja wa hao askari walokupiga au?
 
Mtu mzma unaejitambua uanze kupigwa bila sababu ?.na wasiwasi na muonekano wake ,kwa kujieleza tu utaeleweka labda Kama kajichanganya kakutana na askari wasiojielewa
Kilamtu ni mbabe kwenye hali ya utulivu na amani.
 
😂 😂 😂Ila we jamaa
 
😂 😂 😂Ila we jamaa
Nmekuja hapa kushare hii kitu kwa uchungu sana. Sikuwa na kosa lolote
.je wapo wangapi wanaonyanyaswa na hawa jamaa.sawa nimekosea kwa nini mnitukane matusi na kunipiga .je kwa nini msinipeleke kituoni...nilichoona hawa wanakawaida ya kutafta namna itakowanufaisha kutoka kwa raia..kitendo cha mimi kuwa mtiifu bila kuwapinga kimewastua kwa maana walinisoma pia nilivyofocus kuangalia namba zao..what if kunifanyia hivyo ni kunipa hasira ili nipambane nao ili wapate mwanya wa kuniibia ama kunibambikia kesi....
 
Pole mkuu
 
Hao walifikiri una hela kwenye begi njaa Kali mkuu
Sio swala la kucheka ila natamani wenye mamlaka waone hii..hivi chombo hiki kunifanyia hivi alafu kesho unasema tuisaidie police kufichua uovu..mbona uovu upo sebuleni kwao
.
 
Nipo nyumbani hapa shughuli zangu zimesimama nahisi maumivu kwenye kifundo cha mguu.natamani niende maturubai kituo cha police nikashtaki kwa mkuu wa kituo ila naogopa kwani wale ni kitu kimoja. Wanaweza kunibadilishia kesi...for this nimejiona takataka sana..sina kosa napigwa vitu vinamwagwa mfuko mmoja nilibeba matunda wameukanyaga na t shirt imechanwa..eti kisa natembea polepole kwa kujiamini
 
Angalia zinazokufaa kwa tatizo lako kisha ripoti moja kwa moja bila kutumia care of c/o

 
Kwa sasa police maeneo ya bank mtu akibeba bag na muonekano usioeleweka,wanaanza kukutilia mashaka tena hasa ukiwa unageuka geuka hovyo
 
Kwa sasa police maeneo ya bank mtu akibeba bag na muonekano usioeleweka,wanaanza kukutilia mashaka tena hasa ukiwa unageuka geuka hovyo
Walinda amani wanavunja amani.hivi ningekufika ile point of no return nikapora silaha yake hapo tungekuwa tunaongea mengine sasa.physical fitness niko vizuri kuliko wao..wajue tu ipo siku watu watachoka... na maamuzi mabaya hayapangwi ila yanatokea papo kwa papo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…