Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliyekuja ni mmoja wa hao askari walokupiga au?Inawezekana ninashida ila baada ya kuniachia niliacha begi langu na kwenda pembeni ya mtaro nikitafakari akaja mmoja na begi langu huku akinisihi siyapuuze kwani wanadam wanakosea.
Namba za ma RPC hzoNatamani niwe na hiyo namba..pia police aliyenipiga mmoja wao nina namba yake h-9090
Kilamtu ni mbabe kwenye hali ya utulivu na amani.Mtu mzma unaejitambua uanze kupigwa bila sababu ?.na wasiwasi na muonekano wake ,kwa kujieleza tu utaeleweka labda Kama kajichanganya kakutana na askari wasiojielewa
😂 😂 😂Ila we jamaaUmeandika kwa kukurupuka ,tulia shusha pumzi anza kutupa kisa vizur.Hawa jamaa wanavipigo lakini vingi vinasababu zake.usje ukawa wewe ndo umezichanga karata hovyo.
Pole ila kupigwa kiboya namna iyo sio poa,jipige kifuani mara tatu Kisha SEMA Mimi Ni fala
Yeye hakuwa akinipiga na kunasaa alitoka nje hakupendezwa na hali ile ila hakuwa na namnaaliyekuja ni mmoja wa hao askari walokupiga au?
Nmekuja hapa kushare hii kitu kwa uchungu sana. Sikuwa na kosa lolote😂 😂 😂Ila we jamaa
Hapo banki hakuna cctv smbayo inaweza onyesha hilo tukio? kama zipo anzia hapoYeye hakuwa akinipiga na kunasaa alitoka nje hakupendezwa na hali ile ila hakuwa na namna
Pole mkuuNmekuja hapa kushare hii kitu kwa uchungu sana. Sikuwa na kosa lolote
.je wapo wangapi wanaonyanyaswa na hawa jamaa.sawa nimekosea kwa nini mnitukane matusi na kunipiga .je kwa nini msinipeleke kituoni...nilichoona hawa wanakawaida ya kutafta namna itakowanufaisha kutoka kwa raia..kitendo cha mimi kuwa mtiifu bila kuwapinga kimewastua kwa maana walinisoma pia nilivyofocus kuangalia namba zao..what if kunifanyia hivyo ni kunipa hasira ili nipambane nao ili wapate mwanya wa kuniibia ama kunibambikia kesi....
Sio swala la kucheka ila natamani wenye mamlaka waone hii..hivi chombo hiki kunifanyia hivi alafu kesho unasema tuisaidie police kufichua uovu..mbona uovu upo sebuleni kwaoHao walifikiri una hela kwenye begi njaa Kali mkuu
Hapo banki hakuna cctv smbayo inaweza onyesha hilo tukio? kama zipo anzia hapo
Ahsante sanaNamba za ma RPC hzo View attachment 1801363
Ngoja nimuwekee tenaMkuu Mshana alitoa number za wakuu wote wa vituo vya polisi, wapigie simu utoe malalamiko yako.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Angalia zinazokufaa kwa tatizo lako kisha ripoti moja kwa moja bila kutumia care of c/oSiku hii ya Jumamosi tarehe 29 May..nimekutana na madhila ya kupigwa kudhalilishwa na kutukanwa na police..tukio limetokea Mbagala Rangi tatu maeneo ya Benki ya Akiba..
Nilitokea Bank kuweka pesa ila baada ya kumaliza zoezi na kutoka nje kwa mshangao niliitwa "we fala potea hapo."
Cha kushangaza sikiwa nimesimama nilikuwa kwenye mwendo, baada ya kusikia hivyo mi nikaongeza mwendo ila niliskia tena "we m*enge kaa chini," nilivyosimama nilipigwa mtama na tanganyika jeki juu. Wakanipeleka kwenye chumba chao na kipigo heavy kiliendelea sikupewa nafasi ya kufanya chochote zaidi begi lilifunguliwa vitu vyangu vilimwagwa chini. Nmetukanwa mara **** la mama ako mara uta*irika.
Baada ya kutii kila kitu na kiwasujudia waliniachia huku wananipiga makofi wakicheka..
Hili kisheria likoje?
Walinda amani wanavunja amani.hivi ningekufika ile point of no return nikapora silaha yake hapo tungekuwa tunaongea mengine sasa.physical fitness niko vizuri kuliko wao..wajue tu ipo siku watu watachoka... na maamuzi mabaya hayapangwi ila yanatokea papo kwa papoKwa sasa police maeneo ya bank mtu akibeba bag na muonekano usioeleweka,wanaanza kukutilia mashaka tena hasa ukiwa unageuka geuka hovyo