TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Ne wapalochi kunyanja kumbwani.Na veve wakunyumbaa mlongoo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ne wapalochi kunyanja kumbwani.Na veve wakunyumbaa mlongoo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi mkuu wengi wao ni zao la mwendazake yupo mmoja kule wilaya ya Chamwino ilipo ikulu ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa zainabu kishegwe alipata nafasi hiyo ya uafisa elimu msingi(w) na mume wake ndiye meya wajiji la dodoma huyo mama nae ni WA hovyo na amesharipotiwa hapa jf mala kwa mala,akijitanda ushungi wake unawezajua pana mtu pale kumbe shetani wa kike.Bwana Yule kwa sehemu fulani alichochea maovu ya aina hii hasa kipindi cha utemi wake. Eti mtu akionekana tuu kumuunga mkono basi anapata promotion ni hatari sana. Sasa tukajikuta tunapata viongozi hatari sana kwenye sekta nyeti ndani ya taifa letu. Mtu kama huyo anajiamini kufanya hayo kwa sababu anajua anayo connection ndani ya SIRIKALI NA SISIEM. Sijajua alipata wadhifa huo kipindi gani, lakini mashaka makubwa zaidi niliyonayo ni jinsi alivyopata wadhifa huo na sasa hii ndo inapelekea kuyatenda yote haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama siyo upumbavu unaweza kumuambia usiyemjua kwa ujinga wako hata mumeo ana kazi!Jukwaa limekuwa la matusi tena mkuu?
We nakufahamu ni mmamaHivi kama siyo upumbavu unaweza kumuambia usiyemjua kwa ujinga wako hata mumeo ana kazi!
Unanijua mimi ni mwanaume au mwanamke?
Kupishana maoni uanze kunikejeli mara mimi mjinga na ukanipa jinsia ya kike ni sawa?
Acha watu waanike maovu kwenye jamii na wawe huru kuzungumza, umekosa hekima
Mna wewe ni shoga nakufahamuWe nakufahamu ni mmama
Sawa tunashirikiana na baba akoMna wewe ni shoga nakufahamu
Sawa shoga mzoefuSawa tunashirikiana na baba ako
Dingi akoSawa shoga mzoefu
Sawa dingi anguDingi ako
Huyo atakuwa ni miongoni mwa zile mboga za afisa elimu.Humu jamii forum kuna watu wa hovyo ujuaji mwingi kumbe bure.
Hivi we ni mtu gani usiyejua maana ya hili jukwaa,inakuaje unashangaa malalamiko kuletwa humu? haya ndo malalamiko ya kwanza kuletwa humu?
Mnafikia hatua ya kuporomosheana matusi,do you think clearly?
Alafu mwisho unahitimisha mie sio mtumishi wa umma sasa kiherehere chote cha nini?
Kama ni tuhuma si uchunguzi unafanyika we kinachokuuma ni nini,ye ndo wa kwanza kutuhumiwa?acheni ujuaji bwana
Mimi nafikiri itengenezwe thread maalumu kuorodheshwa maafisa elimu wote vimeo nchini na kuambatanisha na Picha zao Ili hao wanaowalinda huko tamisemi waone vimeo vyao!!Maafisa Elimu wengi wanakuwaga kama Miungu watu..kuna mama mmoja alikuaga hapa same..alikuwa kama Simba. Hakuna mtu anafanya kitu akiwa hayupo ni kama sio ofisi ya umma. Sijui yupo wapi kwa sasa ila legacy yake ipo. Wajirekebishe cheo ni dhamana.
Naunga hoja mkono pia itasadia hata watakao pata hizo teuzi kutofanya kazi kwa mazoea.Mimi nafikiri itengenezwe thread maalumu kuorodheshwa maafisa elimu wote vimeo nchini na kuambatanisha na Picha zao Ili hao wanaowalinda huko tamisemi waone vimeo vyao!!
AKILI NDOGO.Lakini mengine umechapia mwalimu unachuki na huyo afisa na wewe siyo mtumishi wa Mungu kama ulivyojinasibu mtu wa Mungu hawezi andika haya uliyo andika Kwa maana unaonesha unachuki siyo ubapenda haki hapana je umemfuata ukamwonya kama mtumishi wa Mungu?
Chakula ya mngoni hiyoAKILI NDOGO.
Mungu akujuwe vema wewe mwenye akili kubwaAKILI NDOGO.
Wakati mwingine majibu kama hayo mnajitakia wenyewe ukute wapo humu watendwa wa huyo afisa elimu kumbuka anatuhuma ya kula wake za watu kwa kutumia cheo chake na mme wake labda ni member wa jf ni lazima ukumbane na kilichokukuta.Mungu akujuwe vema wewe mwenye akili kubwa
Takukuru wapo namba zao zipo kwanini asiwapigie? Mimi sipendi uonevu rushwa wala utendaji wa dhambi hoja yangu angewapa takukuru lingefanyiwa kazi vizuri kuliko huku jamvini ninakuwa kama udaku au chuki ya awali kwa mtuhumiwaWakati mwingine majibu kama hayo mnajitakia wenyewe ukute wapo humu watendwa wa huyo afisa elimu kumbuka anatuhuma ya kula wake za watu kwa kutumia cheo chake na mme wake labda ni member wa jf ni lazima ukumbane na kilichokukuta.