Dah...Kwanza nakupa heko mwalimu! Mlikuwa wapi siku zote ?
Mimi ni Mfanyabiashara hapa Moshi. Kuna siku rafiki na mfanya biashara mwenzangu alitoka Nairobi na kushukia moja ya hotel hapa Moshi ambayo nimeizoea na nimezoeana pia sana na wahudumu hasa Muhudumu counter. Na ndio sababu marafiki zangu wengi nawapelekaga kulala hapo kwenyi hii hotel wakitoka safari.
Siku hiyo nikiwa Counter namsubiri huyo rafiki yangu aingie Moshi , Ngonyani aliingia na mke wa rafiki yangu kabisa ambaye ni mwalimu Mkuu (Shule nahifazi) kuja kumshughulikia ! .NILISHTUKA,NILIUMIA , NILISIKITIKA SANA kwani huyu Shemeji yangu hawana shida yoyote na Mme wake (rafiki yangu) . Kiliniuma Sana nikajificha nikaondoka pale kwenda kulewa kwingine nikijiuliza nichuke hatua gani! Hata yule dada wa counter alishangaa nilivyo ondoka kwani alikua anajua namsubiri mgeni kutoka Nairobi!
Kwenye hili , Mwanaume nilikaa kimya KULINDA NDOA YA RAFIKI YANGU! Nilikuwa simjui Ngonyani lakini nilipeleleza tangu siku hiyo nikamfahamu vizuri ! Kumbe ni
District education officer wa manispaa ya Moshi !
Jioni ya kesho yake nilirudi nikamuuliza dada wa counter akasema Ngonyani huwa anakuja na wanawake tofauti tofauti ila kwa sasa amesimama pombe. Angekuja Counter! Kwakuwa yule dada wa counter ni “Mshikaji” ikabidi nimueleze kwanini niliondoka ghafla ! Baada ya kumuambia ukweli alishangaa sana nae akaniambia ya huyu Ibilisi NGONYANI .
Dada wa counter aliniambia kuna siku alikujaga na mwanamke wakasikia kelele ndani .Baada ya muda mfupi yule mwanamke alitoka akiwa amekasarika na anajibana kulia . Kwenye vidole huyu mwanamke anapete zote za ushahidi ni mke wa mtu !Huyu mwanamke alisubiri nje ya chumba kwa muda mpaka Ngonyani alipotoka nae akiwa kakasirika na kumuangalia vibaya huyo mwanamke , Aliingia kwenye gari akajeuza aka act kama anataka kumuacha huyo mwanamke…then ndio akamfungulia mlango wa gari . Baada ya tukio Mhudumu mmbea alienda kwenye kile chumba na kukuta KY imechafua mito, mashuka Tafrani Tafrani !
Cha kushangaza , baada ya week kazaa, huyo mwanamke alirudi tena na Ngonyani . Kelele zilisikika tena. Wambea walisogea mlangoni na mnaneno ya malalamiko/maumivu ya huyu mwanamke (siwezi kuyaandika hapa) nikwamba alikuwa analawitiwa! Inamaanisha mara ya kwanza huyu mke wa watu alikataa na hakuweza. lakini pressure aliyopata huko kazini ilibidi akubali kulawitiwa .Mpaka leo wako nae!.
Inamaana kama hawa wanawake ni WALIMU na wake za watu basi anatumia mamlaka yake vibaya kulawiti wake wa wenzake ? Niliumia Sana kumuona na mke wa rafiki yangu ! That means atakuwa anamfanya kinyume na maumbile pia ? Na kama haya ni ya kweli basi achunguzwe na Haki itolewe! Basi Kama mke wako ni mzuri na ni mwalimu mkuu basi ujue Huyu SHETANI Kesha mpitia vibaya ! Pia itakuwa Inamaana walimu wazuri ambao sio WALIMU wakuu au WARATIBU atakuwa anawagandamiza Sana kwasababu wamemyima au wamekataa kulawitiwa!
1. Je wanawake ni wangapi walimu wakuu na waratibu manispaa ya Moshi?
3. Pia kutokana na taarifa hizi kutoka tayari Kesha vunja au kuweka ndoa ngapi hatarini?
4. Inamaana tangu nimuone na mke wa rafiki yangu hayo matukio yamendelea kiasi gani mpaka tumefika hapa?
Tulipataga Mtu ambaye alitutisha watanzania, Leo hii Ngonyani anatumia Mamlaka aliyo pewa kulawiti wake zetu???
Hili jambo tangu lilipo anikwa wazi nimejaribu kuongea na walimu nao wafahamu kuhusu Ngonyani kumbe kila mwalimu ana kero na huyu mtu! Mara barua kupotea ofisini kwake makusudi ili usikue kitaaluma au mpaka umuhonge chochote atakacho kiona kwako, Mara kuwatukana walimu mbele ya wanafunzi wanapo andika kuomba fulsa zilizo tangazwa kama kufundisha secondary kutokea primary etc. Kawa Mungu mweusi na walimu wanadai huwezi kuomba fulsa ambayo barua itapitia kwakwe ukabaki salama! This is sad!
INADAIWA ANA MTU TAMISEMI AMBAYE ANAMPA KIBURI NA NDIO NGUZO YAKE.
Kama huyu Mtu yupo kweli basi tunataka tujue yeye na Mama Samia nani mwenye nchi!
Je huyu mtu na uteuzi wa DEO anapata nini ?
Hata hapo Manispaa penyewe wafanyakazi wenzake wanashida na Huyu ngonyani Kisa huwa anakaimu ukurugenzi! Haikubaliki!
Na sasa hivi ana Nissan Dualis ya kwenda kuwaringishia walimu wakike, wake za watu anao wagandamiza na kuwatisha kwa kuwahamishia Msandaka na shule zingine za pembezoni ili kuwakomoa kwa kumnyima.
MWESHIMIWA RAISI, MAMA SAMIA.HAPA HATUONEI MTU.FANYA UCHUNGUZI HAKI ITOLEWE.
1. Idara ya usalama wa taifa ichunguze walimu wote ambao wamepelekwa Shule za pembezeno kama Msandaka kunani?
2. Kwanini walimu wakuu ni wengi wa kike?
3. Transaction zake za hela: benki,mobile money etc
4. Huyo kibosile wake wa tamisemi afukuzwe pia
WeWe Ngonyani,Huyo mke wa rafiki yangu tunaheshimiana nae Sana . Wanapendana Sana na Mme wake ! Ila Uwalimu mkuu ndio umemuuza kwako ! Unacho mfanyia jibu utapata kama ukiendelea kubaki Moshi hii! MIMI NI MWANAUME,NIMEKAA KIMYA KULINDA NDOA YA RAFIKI YANGU!SIO KUKULINDA WEWE .
Mama Yetu Samia upo!
HILI JAMBO HALIITAJI CHADEMA! UNAWEZA MAMA
1. Pia mama Yetu Samia,angalia pia uteuzi wa nafasi za waratibu, walimu wakuu,etc unavyo fanywa
2. Pia kwanini mwalimu mkuu asipigwe kura na walimu wenzake washule hiyohiyo ili kuacha ubosi na kuwa mtumishi?Walimu watamchagua wanae mjua mwenendo wake badala ya kuletewa mwalimu kutoka shule nyingine kuja kuwa bosi kisa katumika kingono au kaonga hela?
Mama Samia Shikamoo.Ahsante.
#Mtanzania