Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka .

Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
 
Kama polisi wenyewe ndiyo Hawa jamii ya akina Muliro na Mafwele. Omba wengine
 
Back
Top Bottom