K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Jul 22, 2025 #1 Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
Bhikalamba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 2,341 Reaction score 3,367 Jul 22, 2025 #2 Kama polisi wenyewe ndiyo Hawa jamii ya akina Muliro na Mafwele. Omba wengine