Uonevu wa NEC ni bomu linalosubiri kulipuka; Wagombea 10 Upinzani Shinyanga waenguliwa kuwania Udiwani kwa kukosa sifa

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
632
Reaction score
340
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi!

Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania

Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia;

---
NIPASHE imeripoti leo kuwa:

"Wagombea 10 wa upinzani waenguliwa udiwani"

Wagombea 10 wa vyama vya upinzani kata ya NDEMBEZI, manispaa ya Shinyanga wameenguliwa kugombea udiwani kwa madai ya kukosa sifa.

Msimamizi wa uchaguzi huo mdogo Timothy Andrew ameengua wagombea wote wa upinzani na kuacha mgombea wa CCM apite bila kupingwa.

Timothy amesema vyama hivyo vya upinzani, havikukidhi vigezo vya kugombea udiwani. Mgombea aliyekidhi vigezo vya Tume yaTaifa ya uchaguzi na kupitishwa kugombea udiwani wa kata hiyo ni VICTOR MMANYWA kutoka CCM.

Walioenguliwa ni :

1. ABDALLAH SUBE (DEMOKRASIA MAKINI)
2. REHEMA MJENGI (ADC)
3. ANTHONY NDINDA (SAU)
4. RAMLA SHIJA (NLD)
5. FATMA ALLY (UMD)
6. EMILIANA MALEMA (CCK)
7. IBRAHIM JUMAH (CHAUMA)
8. LWITAKUBI KABUGULU (NRA)
9. AMEN ISANGI (DP) NA
10. MVANO IDD (ACT WAZALENDO).

Chanzo: Nipashe: Habari, Makala na maoni ya Mhariri

NOTE: Kwa mtizamo wangu ujinga huu na uhuni huu utaondoka pale Watanzania watakapoinuka kuipigania demokrasia. Watumishi wa tume, Polisi na CCM wanaovitumia vyombo hivi watanywea na kukimbia kama mbwa koko. Tunaikataa demokrasia kwenye kata. Tutaitafuta siku wanaopitishwa bila kupingwa watakapoanza kuumizwa na kuzuiliwa kutumikia nafasi wanaopeana kihuni

Mwalimu Nyerere aliruhusu vyama vingi baada ya kuona wananchi wenye hasira walipougeuka utawala wa kibabe wa Nikolae. Waliandamana wengi akaagiza wauliwe. wakauawa 71. Wananchi wakaanza kwenda Ikulu baada ya kuambiwa aliyetoa maagizo ya kuua yuko huko. Nikolae na Mkewe wakakimbia kwa Helikopta. Jeshi likaagiza washuke. Wakahukumiwa kifo kwenye vmahakama za kijeshi. Waliuawa siku ya Krismass mwaka 1989.
 
Kama hawajui kujaza form tu wataweza vipi kutatuta matatizo ya wananchi,acha waondolewe

USSR
 
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mteule wa rais ambaye pia ni mwenyekiti wa moja kati ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi husika.

Katiba mpya itakayopunguza mamlaka ya uteuzi aliyobebeshwa rais ndiyo suluhisho pekee la tatizo hili na ndiyo maana mumiani wa CCM pua zinawatanuka kwa jazba kila wakisikia neno "Tume Huru" or "Katiba Mpya"

By the way nadhani imeeleweka vema kwanini CDM wamegoma kusimamisha wagombea kwenye huu uchafuzi wa madiwani.
 
HUU NDIO UGAIDI SASA. KATIBA INASEMA HIVI WEWE UNAFANYA VILE.
Halafu siku ya kuapishwa watabeba Biblia na Quran wakati wamepita kihuni/kiwizi/kigaidi.
 
WALIOGOMBEA WOTE WAMEPITIA SHULE ZILEZILE ZILIZOPO TANZANIA. INAPOFIKA HATUA YA KUGOMBEA NI WAGOMBEA WA UPINZANI TU WANAKOSEA. SIJAWAHI KUSIKIA HATA SIKU MOJA MGOMBEA WA UPANDE MWINGINE ANAKOSEA.KWANI UPANDE MMOJA TU NDO WAWE WA KUKOSEA TU WAKATI SHULE NI TANGU AWALI HADI CHUO KIKUU WOTE WAMEPITIA HUKO HUKO. AU " A,E,I,O,U. NI TOFAUTI KWA WAPINZANI NA WALE WA UPANDE WA KULE
 
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi!

Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania

Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia;

---
NIPASHE imeripoti leo kuwa:

"Wagombea 10 wa upinzani waenguliwa udiwani"

Wagombea 10 wa vyama vya upinzani kata ya NDEMBEZI, manispaa ya Shinyanga wameenguliwa kugombea udiwani kwa madai ya kukosa sifa.

Msimamizi wa uchaguzi huo mdogo Timothy Andrew ameengua wagombea wote wa upinzani na kuacha mgombea wa CCM apite bila kupingwa.

Timothy amesema vyama hivyo vya upinzani, havikukidhi vigezo vya kugombea udiwani. Mgombea aliyekidhi vigezo vya Tume yaTaifa ya uchaguzi na kupitishwa kugombea udiwani wa kata hiyo ni VICTOR MMANYWA kutoka CCM.

Walioenguliwa ni :

1. ABDALLAH SUBE (DEMOKRASIA MAKINI)
2. REHEMA MJENGI (ADC)
3. ANTHONY NDINDA (SAU)
4. RAMLA SHIJA (NLD)
5. FATMA ALLY (UMD)
6. EMILIANA MALEMA (CCK)
7. IBRAHIM JUMAH (CHAUMA)
8. LWITAKUBI KABUGULU (NRA)
9. AMEN ISANGI (DP) NA
10. MVANO IDD (ACT WAZALENDO).

Chanzo: Nipashe: Habari, Makala na maoni ya Mhariri

NOTE: Kwa mtizamo wangu ujinga huu na uhuni huu utaondoka pale Watanzania watakapoinuka kuipigania demokrasia. Watumishi wa tume, Polisi na CCM wanaovitumia vyombo hivi watanywea na kukimbia kama mbwa koko. Tunaikataa demokrasia kwenye kata. Tutaitafuta siku wanaopitishwa bila kupingwa watakapoanza kuumizwa na kuzuiliwa kutumikia nafasi wanaopeana kihuni

Mwalimu Nyerere aliruhusu vyama vingi baada ya kuona wananchi wenye hasira walipougeuka utawala wa kibabe wa Nikolae. Waliandamana wengi akaagiza wauliwe. wakauawa 71. Wananchi wakaanza kwenda Ikulu baada ya kuambiwa aliyetoa maagizo ya kuua yuko huko. Nikolae na Mkewe wakakimbia kwa Helikopta. Jeshi likaagiza washuke. Wakahukumiwa kifo kwenye vmahakama za kijeshi. Waliuawa siku ya Krismass mwaka 1989.
Hii sio sawa sijui kwa nini linaendelezwa ilhali ni chini ya mwezi Rais alizungimzia ishu ya kuengua wapinzani.
 
Wananchi nasi tumelala sana ndio maana kadri siku zinavyokwenda kiburi kinaongezeka tunatakiwa tususie uchaguzi wenyewe kabisa.
 
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi!

Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania

Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia;

---
NIPASHE imeripoti leo kuwa:

"Wagombea 10 wa upinzani waenguliwa udiwani"

Wagombea 10 wa vyama vya upinzani kata ya NDEMBEZI, manispaa ya Shinyanga wameenguliwa kugombea udiwani kwa madai ya kukosa sifa.

Msimamizi wa uchaguzi huo mdogo Timothy Andrew ameengua wagombea wote wa upinzani na kuacha mgombea wa CCM apite bila kupingwa.

Timothy amesema vyama hivyo vya upinzani, havikukidhi vigezo vya kugombea udiwani. Mgombea aliyekidhi vigezo vya Tume yaTaifa ya uchaguzi na kupitishwa kugombea udiwani wa kata hiyo ni VICTOR MMANYWA kutoka CCM.

Walioenguliwa ni :

1. ABDALLAH SUBE (DEMOKRASIA MAKINI)
2. REHEMA MJENGI (ADC)
3. ANTHONY NDINDA (SAU)
4. RAMLA SHIJA (NLD)
5. FATMA ALLY (UMD)
6. EMILIANA MALEMA (CCK)
7. IBRAHIM JUMAH (CHAUMA)
8. LWITAKUBI KABUGULU (NRA)
9. AMEN ISANGI (DP) NA
10. MVANO IDD (ACT WAZALENDO).

Chanzo: Nipashe: Habari, Makala na maoni ya Mhariri

NOTE: Kwa mtizamo wangu ujinga huu na uhuni huu utaondoka pale Watanzania watakapoinuka kuipigania demokrasia. Watumishi wa tume, Polisi na CCM wanaovitumia vyombo hivi watanywea na kukimbia kama mbwa koko. Tunaikataa demokrasia kwenye kata. Tutaitafuta siku wanaopitishwa bila kupingwa watakapoanza kuumizwa na kuzuiliwa kutumikia nafasi wanaopeana kihuni

Mwalimu Nyerere aliruhusu vyama vingi baada ya kuona wananchi wenye hasira walipougeuka utawala wa kibabe wa Nikolae. Waliandamana wengi akaagiza wauliwe. wakauawa 71. Wananchi wakaanza kwenda Ikulu baada ya kuambiwa aliyetoa maagizo ya kuua yuko huko. Nikolae na Mkewe wakakimbia kwa Helikopta. Jeshi likaagiza washuke. Wakahukumiwa kifo kwenye vmahakama za kijeshi. Waliuawa siku ya Krismass mwaka 1989.
Kwani hawa hawajui kama Tanzania hakuna uchaguzi? Kilichowapa washiriki huu uchaguzi ni kitu gani kama si ubinafsa? Hatutaki kusikia manungu'uniko kwanza tudai katiba na tume huru tusipotezeane muda!
 
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi!

Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania

Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia;

---
NIPASHE imeripoti leo kuwa:

"Wagombea 10 wa upinzani waenguliwa udiwani"

Wagombea 10 wa vyama vya upinzani kata ya NDEMBEZI, manispaa ya Shinyanga wameenguliwa kugombea udiwani kwa madai ya kukosa sifa.

Msimamizi wa uchaguzi huo mdogo Timothy Andrew ameengua wagombea wote wa upinzani na kuacha mgombea wa CCM apite bila kupingwa.

Timothy amesema vyama hivyo vya upinzani, havikukidhi vigezo vya kugombea udiwani. Mgombea aliyekidhi vigezo vya Tume yaTaifa ya uchaguzi na kupitishwa kugombea udiwani wa kata hiyo ni VICTOR MMANYWA kutoka CCM.

Walioenguliwa ni :

1. ABDALLAH SUBE (DEMOKRASIA MAKINI)
2. REHEMA MJENGI (ADC)
3. ANTHONY NDINDA (SAU)
4. RAMLA SHIJA (NLD)
5. FATMA ALLY (UMD)
6. EMILIANA MALEMA (CCK)
7. IBRAHIM JUMAH (CHAUMA)
8. LWITAKUBI KABUGULU (NRA)
9. AMEN ISANGI (DP) NA
10. MVANO IDD (ACT WAZALENDO).

Chanzo: Nipashe: Habari, Makala na maoni ya Mhariri

NOTE: Kwa mtizamo wangu ujinga huu na uhuni huu utaondoka pale Watanzania watakapoinuka kuipigania demokrasia. Watumishi wa tume, Polisi na CCM wanaovitumia vyombo hivi watanywea na kukimbia kama mbwa koko. Tunaikataa demokrasia kwenye kata. Tutaitafuta siku wanaopitishwa bila kupingwa watakapoanza kuumizwa na kuzuiliwa kutumikia nafasi wanaopeana kihuni

Mwalimu Nyerere aliruhusu vyama vingi baada ya kuona wananchi wenye hasira walipougeuka utawala wa kibabe wa Nikolae. Waliandamana wengi akaagiza wauliwe. wakauawa 71. Wananchi wakaanza kwenda Ikulu baada ya kuambiwa aliyetoa maagizo ya kuua yuko huko. Nikolae na Mkewe wakakimbia kwa Helikopta. Jeshi likaagiza washuke. Wakahukumiwa kifo kwenye vmahakama za kijeshi. Waliuawa siku ya Krismass mwaka 1989.
VYAMA RAFIKI VYA CCM navyo VINAENGULIWA MAAJABU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wanaoenda kuchukua fomu nao ni wapumbavu... NEC na CCM waachiwe wagombee peke yao mpaka wachoke.
 
Back
Top Bottom