Richard Robert
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 632
- 340
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi!
Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania
Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia;
---
NIPASHE imeripoti leo kuwa:
"Wagombea 10 wa upinzani waenguliwa udiwani"
Wagombea 10 wa vyama vya upinzani kata ya NDEMBEZI, manispaa ya Shinyanga wameenguliwa kugombea udiwani kwa madai ya kukosa sifa.
Msimamizi wa uchaguzi huo mdogo Timothy Andrew ameengua wagombea wote wa upinzani na kuacha mgombea wa CCM apite bila kupingwa.
Timothy amesema vyama hivyo vya upinzani, havikukidhi vigezo vya kugombea udiwani. Mgombea aliyekidhi vigezo vya Tume yaTaifa ya uchaguzi na kupitishwa kugombea udiwani wa kata hiyo ni VICTOR MMANYWA kutoka CCM.
Walioenguliwa ni :
1. ABDALLAH SUBE (DEMOKRASIA MAKINI)
2. REHEMA MJENGI (ADC)
3. ANTHONY NDINDA (SAU)
4. RAMLA SHIJA (NLD)
5. FATMA ALLY (UMD)
6. EMILIANA MALEMA (CCK)
7. IBRAHIM JUMAH (CHAUMA)
8. LWITAKUBI KABUGULU (NRA)
9. AMEN ISANGI (DP) NA
10. MVANO IDD (ACT WAZALENDO).
Chanzo: Nipashe: Habari, Makala na maoni ya Mhariri
NOTE: Kwa mtizamo wangu ujinga huu na uhuni huu utaondoka pale Watanzania watakapoinuka kuipigania demokrasia. Watumishi wa tume, Polisi na CCM wanaovitumia vyombo hivi watanywea na kukimbia kama mbwa koko. Tunaikataa demokrasia kwenye kata. Tutaitafuta siku wanaopitishwa bila kupingwa watakapoanza kuumizwa na kuzuiliwa kutumikia nafasi wanaopeana kihuni
Mwalimu Nyerere aliruhusu vyama vingi baada ya kuona wananchi wenye hasira walipougeuka utawala wa kibabe wa Nikolae. Waliandamana wengi akaagiza wauliwe. wakauawa 71. Wananchi wakaanza kwenda Ikulu baada ya kuambiwa aliyetoa maagizo ya kuua yuko huko. Nikolae na Mkewe wakakimbia kwa Helikopta. Jeshi likaagiza washuke. Wakahukumiwa kifo kwenye vmahakama za kijeshi. Waliuawa siku ya Krismass mwaka 1989.