Uonevu wa Traffic Barabara ya Nyerere

Mr Sir1

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
1,749
Reaction score
7,945


Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture.

Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu walipoweka utepe maana kuna ofisi nyingi kwenye hiyo service road, kupelekea mtu anaetaka kwenda katika moja wapo wa hizo ofisi kukosa pa kuingilia.

Na hii imekuwa mradi kwao maana kuna baadhi ya watu wanatoa hongo na wanawaruhusu kupita.
Hata kama ni kula kwa urefu wa kamba zao, lakini wafikirie na wengine pia.
 
TANROADS ondoeni service roads zote hazina faida bali huleta madhila mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…