ndio nini?
Sasa wabongo tuliambiwa aligeuzia uwanjani jamani, sijui picha hazikuwepo !Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa.
Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
View attachment 3090423
View attachment 3090426
Stori za kahawa na wewe ukaziaminiKuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa.
Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
View attachment 3090423
View attachment 3090426
Lisikuumize kichwandio nini?
Picha tungeziona wapi gazeti la Leo mkoani linafika siku ya 3.
πππ Kwahiyo alikuwa anatulisha matango pori eeee yaaniNi sawa tu na stori za iddi amini kuwa alikuwa anakula watu na kuwapika na kula.nyerere alikuwa anatudanganya sana.hata vita ya Uganda kasababisha Nyerere ambapo alimsaidia Obote kumpindua iddi amini na kushindwa ndiyo ikawa chanzo Cha Uganda kuichukia tz na kuteka Kagera na kuwa mwanzo wa vita
Noma sanaBongo inanuka kweli hasa DAR ukitoka mbele ukitua airport unahisi kama you're about to suffocate. It takes a day or two kuzoea.
Kabisa uko sahihi Dar inanuka sio utani km sie tuliotoka kiziramuyaga harufu tunaisikia yeye je na hadhi yake!!!Bongo inanuka kweli hasa DAR ukitoka mbele ukitua airport unahisi kama you're about to suffocate. It takes a day or two kuzoea.
Kipindi hicho picha utaziona wapi 1992?Mbongo anapenda sana habari za kusikia. Na akisikia anaibeba kama ilivyo.