Yeah babe we 'll do itππππ€£π€£ yani nataman
Amin babeπYeah babe we 'll do it
πππ the fyucha izi ini awa hendziAmin babeπ
Sureπ₯°π₯° nitxt kuleπππ the fyucha izi ini awa hendzi
WapiSureπ₯°π₯° nitxt kule
PmWapi
Okay i am coming babeπ
Hii nilipigiwa hivi hivi kwa haka kamsemoHe's just a friend.
Kumbe jamaa anadinyaaaHe's just a friend.
π€£π€£π€£π€£ Wee unashikishwa pembe mwenzio anadinya tuu...mdebwedoHii nilipigiwa hivi hivi kwa haka kamsemo
Babe mbona hujajaπOkay i am coming babeπ
Bila shaka wewe ni MarioNimefumania msg za michepuko yake, mwenyewe hajajua kama nimeziona. Ameshatembea na kila mfanyakazi wa ofisini kwao na mbaya zaidi kila siku yeye ndo anawasema wafanyakazi wenzake wa kike kuwa ni malaya na wanatumia miili yao kujitengenezea mazingira mazuri ofisini!!! Kifupi naishi na Muuza K!
Sorry simu iliisha chaji nikapitiwa na usingizi piaaπ€£πBabe mbona hujajaπ
Habari wakuuu,
Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.
Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.
Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.
Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?
Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.
Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.
Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
πSasa mimi mkasa wenyewe nautoa wapiNgoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
πππSorry simu iliisha chaji nikapitiwa na usingizi piaaπ€£π