Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Yeah babe we 'll do it😂😂😂🤣🤣 yani nataman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah babe we 'll do it😂😂😂🤣🤣 yani nataman
Amin babe😄Yeah babe we 'll do it
😍😍😘 the fyucha izi ini awa hendziAmin babe😄
Sure🥰🥰 nitxt kule😍😍😘 the fyucha izi ini awa hendzi
WapiSure🥰🥰 nitxt kule
PmWapi
Okay i am coming babe😘
Hii nilipigiwa hivi hivi kwa haka kamsemoHe's just a friend.
Kumbe jamaa anadinyaaaHe's just a friend.
🤣🤣🤣🤣 Wee unashikishwa pembe mwenzio anadinya tuu...mdebwedoHii nilipigiwa hivi hivi kwa haka kamsemo
Babe mbona hujaja😔Okay i am coming babe😘
Bila shaka wewe ni MarioNimefumania msg za michepuko yake, mwenyewe hajajua kama nimeziona. Ameshatembea na kila mfanyakazi wa ofisini kwao na mbaya zaidi kila siku yeye ndo anawasema wafanyakazi wenzake wa kike kuwa ni malaya na wanatumia miili yao kujitengenezea mazingira mazuri ofisini!!! Kifupi naishi na Muuza K!
Sorry simu iliisha chaji nikapitiwa na usingizi piaa🤣🙄Babe mbona hujaja😔
Habari wakuuu,
Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.
Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri.
Mimi binafsi niliwahi kuongopewa ujauzito na binti mmoja miaka ya nyuma kwa kuwa tulikuwa tukiishi mikoa tofauti na nilikuwa namuamini sikumtilia shaka.
Pia soma: Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?
Nililea mimba mpaka miezi mitano ndipo dada yake alipokuja kuniambia baada ya kuwa na yeye alikuwa anakereka na jambo alilokuwa akinifanyia mdogo wake, baadae alikuja kukiri na kuniomba msamaha, Sikumsamehe.
Rafiki yangu na yeye ilimkuta kwa binti mmoja wa Kihehe mpaka mimba ikazaliwa baadae akasema mtoto amekufa.
Je, wewe ndugu uliwahi kukutana na uongo upi kwenye ulimwengu wetu wa mapenzi?
😂Sasa mimi mkasa wenyewe nautoa wapiNgoja waje walete visa vyao hasa hawa akina Rayns Alice_ sweery Viva-perry cuterey Andazi Melki Wamatukio Nyamwi255 min -me
😕😕😕Sorry simu iliisha chaji nikapitiwa na usingizi piaa🤣🙄