Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mkia umetumwa?Kuna uongo unaendelea kusemwa na kusambazwa na viongozi eti kuwa Sisi chura tumeuza Jezi mil 3½ Hadi mil4, hizo jezi tumeuzia majini?? Jezi hewa zimeuzwa??Mbona Leo uwanjani zaidi ya 75% tulivaa jezi za Miaka ya nyuma??? Tunamdanganya Nani?? Hii fursa ya kibiashara iliyotupita ya leo tutaipata lini tena??? Viongozi tunaomba maelezo ya kutosha huu ubwege tulioufanya Leo haufai kunyamaziwa hata kidogo. Semeni tumekurupuka hatujajipanga, tunaiga iga copy & paste kutoka Kwa Simba,
Wenzetu wanafanya Mambo kitaalamu na kisayansi Sisi tunapuyanga tuuu,
Jezi zinaishaaJe??
Alafu la mwisho, huu usajili mbona kama tumepigwa??? Huyu ndanda Kosovo aliyekuja kuchukua namba ya heritier makamboo ni mchezaji kweli au mbeba mabox huko Kongo??
Usajili pekee ni wa mapinduzi balama, wengine tumepigwa kekundu.
Buku yangu ya kiingilio imeniuma Sana aisee,
Ngoja nilale.
Umewahi kununua nguo GSM?tuanzie hapoJezi ina logo ya YANGA na ya GSM kifuani...! Naomba kujua GSM ni KIT SUPPLIER ama KIT MANUFACTURER (km ADIDAS, PUMA, NIKE, UHL, KAPPA)?
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Pathetic.Kuna uongo unaendelea kusemwa na kusambazwa na viongozi eti kuwa Sisi chura tumeuza Jezi mil 3½ Hadi mil4, hizo jezi tumeuzia majini?? Jezi hewa zimeuzwa??Mbona Leo uwanjani zaidi ya 75% tulivaa jezi za Miaka ya nyuma??? Tunamdanganya Nani?? Hii fursa ya kibiashara iliyotupita ya leo tutaipata lini tena??? Viongozi tunaomba maelezo ya kutosha huu ubwege tulioufanya Leo haufai kunyamaziwa hata kidogo. Semeni tumekurupuka hatujajipanga, tunaiga iga copy & paste kutoka Kwa Simba,
Wenzetu wanafanya Mambo kitaalamu na kisayansi Sisi tunapuyanga tuuu,
Jezi zinaishaaJe??
Alafu la mwisho, huu usajili mbona kama tumepigwa??? Huyu ndanda Kosovo aliyekuja kuchukua namba ya heritier makamboo ni mchezaji kweli au mbeba mabox huko Kongo??
Usajili pekee ni wa mapinduzi balama, wengine tumepigwa kekundu.
Buku yangu ya kiingilio imeniuma Sana aisee,
Ngoja nilale.
Supplier and manufacturerJezi ina logo ya YANGA na ya GSM kifuani...! Naomba kujua GSM ni KIT SUPPLIER ama KIT MANUFACTURER (km ADIDAS, PUMA, NIKE, UHL, KAPPA)?
Hizo jezi zenye hadhi zipo wapi sheikheee?? Huoni aibuu?? Jezi zimetengenezwa 1000 pekee wananchi tupo zaidi ya elfu60 unaona kuna akili au matope???Baada ya Wananchi kuingiza jezi zenye hadhi sokoni, mikia wakeshusha bei ya madera yao.
Mkuu Sisi wananchi unafikiri tunajielewa basi?? Hatujielewi.
Siyo kweli, we Mikia FC.Mkuu Mimi ni mwananchi, siridhishwi na ujinga tunaoufanya, wenzetu Simba mbona Mambo Yao yanaenda kitaalamu Sana, Sisi wananchi tunakwama wapi??
Umewahi kununua nguo GSM?tuanzie hapo
Unasema ligi ikianza itakuwaje? Kwani jana uwanjani waliingia wachezaji pungufu sio kwa kuwa hao jamaa uliowataja hawapo? Pia kufungwa na kufunga yote ni matokeo sisi hatutakuwa wa kwanza mzee.Mkuu wale jamaa wa jne wamejipanga Sana, sio kama Sisi, Sisi tumekurupuka aisee!
Akina Juma Abdul na Dante hawajulikani walipo, wanadai hela, SASA ligi ikianza itakuwaje??
Ngoja town rollers watupigee hapa home ndio mtaelewa!
kutaka kujuaShida yako nini?