Uongo huu wa uongozi wa chura usifumbiwe macho

Jezi ina logo ya YANGA na ya GSM kifuani...! Naomba kujua GSM ni KIT SUPPLIER ama KIT MANUFACTURER (km ADIDAS, PUMA, NIKE, UHL, KAPPA)?
Mkuu Sisi wananchi unafikiri tunajielewa basi?? Hatujielewi.
 
Wewe mkia umetumwa?
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Pathetic.
 
Baada ya Wananchi kuingiza jezi zenye hadhi sokoni, mikia wakeshusha bei ya madera yao.
Hizo jezi zenye hadhi zipo wapi sheikheee?? Huoni aibuu?? Jezi zimetengenezwa 1000 pekee wananchi tupo zaidi ya elfu60 unaona kuna akili au matope???
 
Mkuu Sisi wananchi unafikiri tunajielewa basi?? Hatujielewi.

Acha kuwasemea Wananchi wewe shabiki wa mbumbumbu fc. Sisi mashabiki wa Yanga tumefurahishwa na kiwango cha timu yetu. Ni vyema na nyinyi mkajivunia cha kwenu.
 
Mkuu Mimi ni mwananchi, siridhishwi na ujinga tunaoufanya, wenzetu Simba mbona Mambo Yao yanaenda kitaalamu Sana, Sisi wananchi tunakwama wapi??
Siyo kweli, we Mikia FC.
 
NKUWI WEEEEE
Mbona siku yako ni kesho pale pale na Mzungu pori sio jana SIKU YA WANANCHI ….tulia uone mziki Jumamosi na Township rollers …..
 
Boooh mi ni mwananchi.
NKUWI WEEEEE
Mbona siku yako ni kesho pale pale na Mzungu pori sio jana SIKU YA WANANCHI ….tulia uone mziki Jumamosi na Township rollers …..
 
Mkuu wale jamaa wa jne wamejipanga Sana, sio kama Sisi, Sisi tumekurupuka aisee!

Akina Juma Abdul na Dante hawajulikani walipo, wanadai hela, SASA ligi ikianza itakuwaje??

Ngoja town rollers watupigee hapa home ndio mtaelewa!
Unasema ligi ikianza itakuwaje? Kwani jana uwanjani waliingia wachezaji pungufu sio kwa kuwa hao jamaa uliowataja hawapo? Pia kufungwa na kufunga yote ni matokeo sisi hatutakuwa wa kwanza mzee.
 
Mnakosa habari mnatafuta attention kwa wananchi na sisi tunasemaje HATUTOI KIKI. pambaneni na asas zenu si tuko bize na SADC
 
Mnakosa habari mnatafuta attention kwa wananchi na sisi tunasemaje HATUTOI KIKI. pambaneni na asas zenu si tuko bize na SADC
Wewe nawe ni mwananchi kama Mimi au mkongomani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…