Uongo huu wa uongozi wa chura usifumbiwe macho

Mechi ya Jana kariobang hawakutaka kutufunga!
Subiri town rollers waje!
Unasema ligi ikianza itakuwaje? Kwani jana uwanjani waliingia wachezaji pungufu sio kwa kuwa hao jamaa uliowataja hawapo? Pia kufungwa na kufunga yote ni matokeo sisi hatutakuwa wa kwanza mzee.
 
Ndugu wananchi wenzangu mmeona walichofanya watani zetu leo??

Hakika timeenjoi Sana

asantenii majirani na watani zetu Kwa kutufundisha kandanda safi

Mimi najiuliza huyu deo kanda atakabwa tutamkaba VP Sisi wananchi?? Labda TumLOGE tuu,

Huyu shiboub hapo katikati atatuua jamaniiiiiiii

Miraji athman daaaaaaah huyu dogo huyuuu

Kahata no doubt

Viera da Silva no doubt

Frag no doubt

Sisi wananchi tumesajili mchezaji mnene mfupi mweusi kama SIMTANK lt 2000, poor control poor touch,

Kwa ufupi sisi wananchi tusipopigwa week msimu huu basi Mungu atakuwa upande wetu
 

Tumekusikia shabiki wa Simba unayejifanya ni shabiki wa Yanga...Tutaanza kuhoji uraia wako kamma yule jamaa wa gazeti la E.... tehtehtehtehtehteh
 
Tumekusikia shabiki wa Simba unayejifanya ni shabiki wa Yanga...Tutaanza kuhoji uraia wako kamma yule jamaa wa gazeti la E.... tehtehtehtehtehteh
Hahahaha mkuu Mimi ni mwananchi na mtz kamili
 
Fc maguruguja wana matatizo sana kuanzia kwa yule jamaa yao msema ovyo hadi mashabiki
 
Jamani wananchi wenzangu Leo tena tupo uwanjani, sioni hamasa yoyote toka Kwa viongozi, au tumkodi Haji manara aje atufanyie UPR??

Timu haieleweki, Daaaaah leo kipigo alafu Simba watatuchekaaa aiseee,

Nitaambia nini watu???
 
Ndugu wananchi wenzangu maendeleo kusisitiza tena na tena hapa mwaka huu hatuna timu!

Tutapigwa Hadi tuchakaeee!

Eeeeeee Mungu wangu hivi Simba hamuwezi kutuonea huruma jamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…