Tetesi: Uongo juu ya JKT

Dah huyo jamaa anakimbia kama anakimbizwa na mbwa😁
Yaaani kule....
Yaani nikikumbuka nyie weee kuna ishu inaitwa shamba mkakati oyaa weeee.

Assume kuna sehemu yale matrekta yameshindwa kupita tunaambiwa sisi aiseee..

Shamba la mianzi daaah
 
Yaaani kule....
Yaani nikikumbuka nyie weee kuna ishu inaitwa shamba mkakati oyaa weeee.

Assume kuna sehemu yale matrekta yameshindwa kupita tunaambiwa sisi aiseee..

Shamba la mianzi daaah
Kuruti ni nguvu kazi 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…