Tetesi: Uongo juu ya JKT

Tetesi: Uongo juu ya JKT

Dah huyo jamaa anakimbia kama anakimbizwa na mbwa๐Ÿ˜
Yaaani kule....
Yaani nikikumbuka nyie weee kuna ishu inaitwa shamba mkakati oyaa weeee.

Assume kuna sehemu yale matrekta yameshindwa kupita tunaambiwa sisi aiseee..

Shamba la mianzi daaah
 
Yaaani kule....
Yaani nikikumbuka nyie weee kuna ishu inaitwa shamba mkakati oyaa weeee.

Assume kuna sehemu yale matrekta yameshindwa kupita tunaambiwa sisi aiseee..

Shamba la mianzi daaah
Kuruti ni nguvu kazi ๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom