Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

Mlibatizwa jina la Wanyonge mkafurahia kumbe wenzenu walikuwa wanakwiba kutumia neno 'wanyonge' Amewanyonga kweli kweli
Hawa wote walistahili kuwa jela lakini kama tunaoneana haya basi Mwananchi asubiri Neema ya Mungu
 
So kuuhadaaa umma kwa yule aliyekuwa akidai msema kwel mpenz wa nan cjui alikuwa akimdannganya nan????

sasa dogo yashapita aliesema ni marehem sasa na hata mkianza vijembe ndo ameshaaga ivo hawezi kujibu maswali yenu, as a wise man unatakiwa kuangalia way forward
 
Chini ya fisadi na mbadhilifu Ndungai
Fisadi ndugai na utopolo wake sasa kwisnei. Mwisho wa enzi. Na ugonjwa wake utarudi kwa kasi. Cheo ni dhamana, kitumie kwa haki. La sivyo, malipo ni hapahapa duniani.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hiyo sijawahi kuiona ila Mkapa aliacha deni likiwa trillion 10, kumbuka wakati wa Mkapa tulipunguziwa deni letu na nchi nyingi za MABEBERU. Kikwete katika miaka 10 aliyokaa madarani akaliongeza kwa 33 trillions hivyo kuliacha deni likiwa 43 trillions. Kwa maana hiyo basi hadi March 2018 miaka miwili na miezi mitano tangu jiwe liingie madarakani deni lilioongezeka kwa 16 trillions na kufikia 59 trillions.
Ahsante mkuu.

Ukipata document inayoonyesha deni wakati JK anatoka madarakani please ntumie
 
hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
apo apo ....hapo hapo
 
Ok!!kuna haja ya kujifunza Mungu ametupa akili ili tuchanganue mambo
sasa dogo yashapita aliesema ni marehem sasa na hata mkianza vijembe ndo ameshaaga ivo hawezi kujibu maswali yenu, as a wise man unatakiwa kuangalia way forward
 
hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
Sasa kama ni hivyo nini magufuli aseme shirika linapata faida na tena linatoa gawio?
 
iman nyingi zinasisitiza roho haifi bali mwili ndo huoza. sasa sijui roho ya mr john itaenda kwa kiumbe gani! je anapoona haya mashambulizi roho ikoje huko!. je aliyepo anaposoma hizi remarks anajipangaje!
Jiwe aliendesha nchi kwa propaganda na takwimu feki.

No wonder aliamini ushirikina kuliko sayansi, mwishoe kiburi chake kimemteketeza jehanam.

Ni suala la muda tu, naamini madudu mengi aliyotenda yatafukunyuliwa.
 
Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki. Tumedanganywa sana na kwa muda mrefu.

CAG amemwambia Mhe. Rais kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara ya mabilioni ya shilingi za kitanzania kwa miaka mitano sasa. Lakini Mwendazake na wenzake wamekuwa wakituamisha kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa faida. Katika kuchagiza hilo, ATCL imekuwa ikitoa hadi gawio kwa Serikali. Tulikuwa tukidanganywa.

Serikali ya Mwendazake ilijaa propaganda na uongo mkubwa. Tumeanza kuona upande wa pili wa tulichokuwa tukiambiwa. Ukweli unaupiga kumbo uongo uliotaka kudumu kwa muongo mzima. Amini nawaambia, hilo ni tone tu kwenye bahari ya propaganda zilizokuwa zikiendelea wakati wa uongozi wa Mwendazake. Mengi yanafuata baada ya tuta.

Ndugu yangu Kichere, angekuwepo Mwendazake ungeiwasilisha Ripoti ile inayoanika ATCL na hasara zake?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Any rational thinking individual (real patriot) has been believing, all the time that the entire ATCL phenomenon was a fiction, marred with corruption and lies.
 
Back
Top Bottom