Uongo mbaya, Dee Andy haendani na Godzilla

Uongo mbaya, Dee Andy haendani na Godzilla

Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.

NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Ww wa kiume au Ke?
 
Ndio nani hao, kweli Bongo noma, siku hizi kuna mpaka Instagram stars
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwani mapenzi yapo kwenye kuvaa? Wache kama wenyewe wamependana
 
Wewe ni hb
Ndio Mimi ni hb,kama mnavojua huwa natumia jina langu la ukweli na hata avatar yangu ni ya ukweli na hata picha naweka tu za ukweli.nicheki kama nafanana na zilla au na bwana ako,watu tulibarikiwa sura na hata pesa pia ,eyooo nicheki,nicheki[emoji116] [emoji116]
1469537428008.jpg
 
Ndio Mimi ni hb,kama mnavojua huwa natumia jina langu la ukweli na hata avatar yangu ni ya ukweli na hata picha naweka tu za ukweli.nicheki kama nafanana na zilla au na bwana ako,watu tulibarikiwa sura na hata pesa pia ,eyooo nicheki,nicheki[emoji116] [emoji116] View attachment 371230
Watu kama nyie ndo mh Makonda katukataza kuwafollow
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.

NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Wivu wa kike
 
Back
Top Bottom