BangiNyeusi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 490
- 591
Anaendana na babu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umependeza mwanangu sema acha kujipodoa kazi yako inaonekani ni salunView attachment 370822 lingine sema
View attachment 370822 lingine sema
Ww wa kiume au Ke?Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.
NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Kumbe huyo ni mwanaume? Dah kwel Wanaume wa Dar kibokoWanaume Wa dar
Akikujibu nishtue.wewe me au ke mkuu kuendana ni mioyo yao wameriziana je ww unaendana na nan mkuu
Dah naona aibu mm....kwann unatuaibisha me wenzako kijana....hii si dalili nzur kabisa NA hilo poz kama kwel ni ww bas kuna kitu hakiko sawa ndan ya mwili wako.View attachment 370822 lingine sema
mkuu ..huyu so riziki ndio basi tenaDah naona aibu mm....kwann unatuaibisha me wenzako kijana....hii si dalili nzur kabisa NA hilo poz kama kwel ni ww bas kuna kitu hakiko sawa ndan ya mwili wako.
duh we jamaa una vidole vifupi ... eeh na ww ujisikie raha kukosolewaView attachment 370822 lingine sema
Acha wivuumependeza mwanangu sema acha kujipodoa kazi yako inaonekani ni salun
Ndio Mimi ni hb,kama mnavojua huwa natumia jina langu la ukweli na hata avatar yangu ni ya ukweli na hata picha naweka tu za ukweli.nicheki kama nafanana na zilla au na bwana ako,watu tulibarikiwa sura na hata pesa pia ,eyooo nicheki,nicheki[emoji116] [emoji116]Wewe ni hb
Watu kama nyie ndo mh Makonda katukataza kuwafollowNdio Mimi ni hb,kama mnavojua huwa natumia jina langu la ukweli na hata avatar yangu ni ya ukweli na hata picha naweka tu za ukweli.nicheki kama nafanana na zilla au na bwana ako,watu tulibarikiwa sura na hata pesa pia ,eyooo nicheki,nicheki[emoji116] [emoji116] View attachment 371230
Wivu wa kikeKwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.
NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.