Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Labda ina mlengo wanaojua wao muda utasema yote.Huwa na jiuliza is it possible hii kesi ni yakunga..na kama ni yakutunga niamini kesi ya namna gani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ina mlengo wanaojua wao muda utasema yote.Huwa na jiuliza is it possible hii kesi ni yakunga..na kama ni yakutunga niamini kesi ya namna gani sasa?
Ila swali ni kuwa je kosa aliloshitakiwa -ugaidi na uhujumu uchumi ni sawa? Ugaidi wa kugharimia laki 6 unastahili kuwa ugaidi kweli?Hapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Tukubaliane je mbowe ana uwezo wa kukata rufaa ICC? Kesi ya ugaidi ni mlango usiofungika.Hapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Aliyekutuma Mwambie hii imefeli . Akatunge script nyingineHapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Uongo utashindwa ila HILA MBAYA ya WATAWALA itafanikiwaHapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Naona mtu amegongwa na kitu chenye ncha kali kichwaniAliyekutuma Mwambie hii imefeli . Akatunge script nyingine
Nadhani unafuatilia ukiwa kitandani mkuuHapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Kama Mandala alifungwa sembuse Mbowe? acha wamfunge lakini katiba mpya tunatakaMkuu na hii post utalipwa ?Bado mnalipwa 7000/?.Mbowe hata wakimfunga hakuna shida tunataka katiba mpya.
Hatari snWe jamaa SITASAHAU kesi ya Sabaya ulivyotuaminisha kwa Comments zako nikajua SABAYA ANACHOMOKA.
Boya lingine hili hapa....Hapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Sidhani..maana naskia Magu alivyofariki Mbowe alifurahi sana.Gaidi anaomba bora Magufuli angekuwa hai
Acha kufananisha papai na dhahabu..Mandela ni dhahabu ya AfricaKama Mandala alifungwa sembuse Mbowe? acha wamfunge lakini katiba mpya tunataka
Mwanamke muuza mbege anajua namba ya bastola..sahihi zake hazifanani .hakuna kesi ni Chuplichupli..MiCCM 90% mihamiaji kutoka Congo,Rwanda na Burundi.. Mtanzania mzawa huwezi kuwa na roho mbaya kiasi hiki..Mkuu we waache tu, lakini Gaidi na Hujumu Uchumi Mbowe LAZIMA lile mvua za kutosha!
Tetetete hatari sn dada anguAcha kufananisha papai na dhahabu..Mandela ni dhahabu ya Africa
Jamhuri imejipanga kumdhulumu raia wake.Hapo vip!!
Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.
Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.
Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.
Nimeiyogopa jamhuri!!
Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
Acha kubishana na ukweliJamhuri imejipanga kumdhulumu raia wake.
Achakukubliana uongo. Za kuambiwa changanya na zako.Acha biashana na ukweli