Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Ndiyo. Kuna vithibitisho chungu nzima.

Mojawapo ni kwamba huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo. Au unaweza?.
Kitu ambacho hakipo ni hakipo
Nikikwambia njiwa akifa baadae anazaliwa kama nguruwe utakubali?
Usipo kubali unaweza kuthibitisha sio kweli?
Na ukishindwa kuthibitisha ndio itakuwa KWELI?
Mnaulizaga maswali ya kitoto sana kuhalalisha uwepo wa Mungu wenu

Naona unatema yai sasa[emoji23]....Wewe hizi information za Mungu na uumbaji wake umezipata wapi?
Ulikutana naye akakuambia?
Au umesoma barua za Paulo kwa Wakolosai?
Au umesoma hekaya za Mudi?
Kwahiyo mimi nimeuliza swali na wewe unajibu kwa kuuliza swali na mimi najibu kwa kuuliza swali....... tutafika kweli mkuu?

THIBITISHA UWEPO WA MUNGU tufunge mjadala mkuu
 

Ati kama Mungu hayupo nani aliweka sukari kwenye embe dodo?.......... kwamba huu ndio UTHIBITISHO wa uwepo wa Mungu?

Kuamini hizi hekaya inabidi ujitoe ufahamu aisee
 
Ati kama Mungu hayupo nani aliweka sukari kwenye embe dodo?.......... kwamba huu ndio UTHIBITISHO wa uwepo wa Mungu?

Kuamini hizi hekaya inabidi ujitoe ufahamu aisee
Hao jamaa Shule walienda kukariri Tu, na kujibu mitihani
 
Oxygen ni colorless Kwa macho ya kawaida ya binadamu, Ila kama ukitumia vifaa maalumu cha kielektroniki ambacho hutumia mwanga wa ultraviolet ili kugundua uwepo wa oksijeni .

Umenielewa?
Basi vivyo hivyo, Mungu utamtambua kwa kutumia imani...Imani ni njia ya kumfahamu Mungu na uwezo wake
 
Mkuu kwani uthibitisho wa uwepo wa kitu ni lazima UONEKANE KWA MACHO TU?

Hatuoni Sauti, harufu nk nk lakini tunao uthibitisho kuwa vitu hivyo vipo

Achana na simulizi za Mudi na Fundi kapenta wa Galilaya
THIBITISHA uwepo wa Mungu
Ili umthibitishe ni lazima uwe na imani kwanza, Mna imani ?
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Hao walikuwa wanamsifu na kusujudu wako wapi?
 
Kasome The Caesar'messiah and the Roman conspiracy to invent Jesus,,mm mpka pause laniishia
 
Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
MUNGU yupo Kam nguvu au chanzo Cha uwepo ,ila jinsi dini zinavyomuelezea ndio changamoto
 
Hebu nieleweshe mkuu “neno Mungu” lina maana gani

Mimi sijalaumu, nimejenga hoja ya Umungu na yaliopo nikaona hakuna MANTIKI

Nifahamishe [emoji120]
Philosophically,, every thing that does exist must have a cause ,,that cause is what we call the first principle,from that principle arise all realities,, Aristotle called it the first cause,,hii ipo hata waafrika tulikuwa tunatambua hivyo kwamba Kuna chanzo Cha kila kitu,mfano Kuna kabila lilikiita hicho chanzo Mlungu,,wengine Nyasaye,,na kwa kiswahil tunakiita MUNGU,,wazungu wanakiita God,,,lkn xax mm nakuunga mkono kweny muktadha wa dini jinsi wanavyomuelezea MUNGU sivyo kabisa,na ndio maana tunafeli sisi waafrika ktka nyanja mbali mbali
 
Jehannam n wp?,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…