Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Yaani😅😅 mwafrika akifika ulaya basi na kujua kingereza anajiona ana uwezo wa kutosha kupinga kuna uwezo wa Mungu , inawezekana ni majaaliwa tu mpaka kusoma na kufika huko.

Lakini anajiona kashakuwa genius hao wazungu wanaamini kweny Mungu tena wanasayansi nguli walioandikq vitabu unavyosoma.
 
Je kitu hicho kinacho abudiwa bila kuonekana kimeleta matokeo gani chanya yaliyo msaidia binadamu?

Kwa nini tena inabidi sayansi na wanasayansi waumize vichwa vyao kufanya utafiti na uchunguzi wa kisayansi kurahisisha maisha ya mwanadamu.

Kwa nini nguvu hizi za kiroho zishindwe kufanya kazi katika uhalisia wa kuonekana?
Sayansi hakuna ilichogundua kipya...maana hakuna kipya ila imefanya yasiyofahamika vema kwa binadam yafahamike...mfano: viumbe hai na mifumo yake, hewa, umeme, anga na sayari zake ipo tangu hapo... sayansi hijagundua isipokuwa imeleta utambuzi wa kujua jinsi inavyofanya kazi, ambapo hata hivyo hajajulikana kabisa ndio maana bado changamoto zake ni nyingi....tukija kwenye technology ni copy, replicate and paste....mfano, gari ,ndegeni copy ya movement ya viumbe wengine, memoy copy ya ubongo, camera copy ya jicho na vingine vingi....hiyo sayansi isiwadanganye mkajaa kiburi cha uzima...wakati hata majibu ya ulimwengu ulitokeaje na ikawaje tufe kubwa kama dunia na mengine mengi kuelea pasipo kushikwa na chochote mpaka leo hakuna majibu.
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kuua watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Uongo mkubwa na wa kijinga ni mtu kuona kitu kwa macho yake halafu anasema hicho kitu kimejitengeneza chenyewe, hivi hatuoni uwepo wa mungu katika uzalishaji wa viumbe? Mfano mwanamke na mwanaume pindi wanapokutana na kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa kwenye kipindi cha yeye kushika uja uzito mbegu za kiume na mayai ya kike yakikutana yanafanya umbwaji wa mwanadamu, na mchakato unaotokea kwenye tumbo la mwanamke ni wa ajabu sana mpaka pale anapojifungua mtoto, hivi haya yote yanafanyika kwa uwezo wa nani? Kuna jopo na mabingwa wa matabibu wanaotengeneza nyama, mifupa ya mtoto? Kuna timu ya mabingwa ya matabibu wanaokwenda kutengeneza sura ya mtoto? Hivi ikiwa utakuwa umeshindwa kujua maana ya Mungu na uwezo wake ni bora uwaulize wenye kujua. Wewe umekuwa mfano wa hakimu ambaye kesi umeitunga wewe na ushahidi unao wewe na hukumu unaitoa wewe. Maandiko uliyoyasoma yote hukuyafahamu kwasababu uemyasoma kwa utashi wa nafsi yako ambayo akili yako imegubikwa na maarifa potofu. Kwanza huna mamlaka ya kumpinga Yesu (A.S), kwa kuwa historia inamjua Yesu na ujumbe wake aliyokuja nao kwa watu wake. Na pia huna mamlaka ya kumpinga Muhammad (S.AW.) kwa kuwa historia inamjua na ujumbe aliyokuja nao, leo tunaweza kusema kuwa ulimwengu umestaarabika kwa kuwa na mafundisho ya hawa mitume wa Mungu, ikiwa duniani tutaishi pasipo na kuwa na khofu ya Mungu basi kila mtu angejifanyia chochote kile anachokiona ni sawa lakini kutokana na khofu hiyo ya Mungu binadamu wameweka desturi ambazo asili yake ni mafundisho kutoka kwa hao wajumbe wa Mungu ili wapate kuishi kwa salama. Ingekuwa hakuna Mungu basi duniani pasingekuwa salama, mwenye nguvu ndiye angekuwa mwenye kutawala, lakini leo tunaona tuna raisi mwanamke na analindwa na jinsia zote kwa kuwa wanaogopa kwenda kinyume na kazi zao ambazo wamekula kiapo kila mtu kwa imani yake ya kuitekeleza kazi yake kwa weledi.
 
Dini ni UHUNI kama UHUNI mwingine.
Ndio maana wachungaji wanajikusanyia Utajiri WA duniani na waumini wanasubiri ufalme WA mbinguni.
DINI IMETENGENEZWA NA BINADAMU, (WAZUNGU NA WAARABU aka MABINAMU) KWA FAIDA ZAO BINAFSI. ndio maana mzungu wakatwambia TUMELAANIWA mwarabu akatuita KAFIRI.
 
Elewa uwepo wa Mungu ambao ni kitu nje ya uwezo wa binadamu ...Hata wewe hujui kesho yako yanaweza kutokea yasiyokupendezea nan anafanya hivyo ?sio akili yako wala uwezo wako.!!
😂Kutojua kesho yangu doesn't prove religion is true ..it proves sijui kesho yangu na hamna mtu anajua kesho ndo maana Kuna predictions tu..na plans...
 
Kwanini biblia ya Mungu huyo inahitaji miongozi mingine?

Jibu ni kwamba haijitoshelezi tu.

Na ndiyo maana inajipinga yenyewe.

Yani ni kitabu hata Geography kuhusu ulimwengu tu ni imeandika uongo lakini cha ajabu ni kwamba watu wameyang'ang'ania.

Kama unabisha Prove me wrong.
Unapenda ubishi?
 
Tunaongelea Mungu hapa kama unataka dini kwa maandiko niambie?

Sitaki kukupeleka kweny maandiko maana hauamini sasa twende kiakili tu.

Unafikiria yule jamaa wa Titanic alivyosema Mungu hawezi kuzamisha meli alijiona ana uwezo zaidi 😅😅.
😂Nilitaka mtu aanze kujikosha na chain message za Whatsapp za share to 20 ppo... fact check hio story ndo uje useme siku zingine utaaibika. 😂We owner wa titanic unamjua...mbona hamna media yoyote iliyosema kasema hivyo...story zingine mfuatilie...😂
 
Nk

Nakuonyesha kiuhalisia binadamu yeyote anatambua uwezo wa Mungu hata wanaoishi porini lazimq kuna kitu wanaabudu...Jaribu kusoma documentary ndio utajua.

Usiwe mbishi kwa kitu hujui ,hakuna jamii ambayo haiabudu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Haujaprove Mungu yupo umeprove kuwa watu wa zamani walikuwa na upungufu wa maarifa.. ndo maana watu wengi wanapunguza Imani za dini siku hizi na research zipo...Africa huku bado sana coz of makanisa ya kitapeli na viongozi kusupport manabii feki na viongozi wa dini kwa sababu zao za kisiasa
 
Sayansi ipo huyo Stephen Hawking kafa kama zombie 😀😀na alikuwa anaprove sio wewe unayekariri hata theory moja hauna.

Dogo we fanya kucopy hata ukiambiwa binadamu alikwua nyani fuata maana hauna akili zaidi ya hapo ,wanaondika ni binadamu kama wewe ambao hawajui kesho yao.

Wapo watu wana matatizo ya ubongo na wanaishi .

Na roho ya binadamu ipo sehemu yeyote ile ya mwili sio kooni kama unavyofiria,ndio mqana binadamu anahisi maumivu sehemu yeyote ile unaweza kukatika mkono ukavuja damu mpaka ukafa sio lazima ukatwe kichwa.
😂😂😂😂Lakini mbona unaongea Kama biology hujasoma kabisa... mwili ni system na lyf ni process sio substance. Bac hio roho imeanza kuwepo wapi...kwenye sperm au kwenye ovum coz nazo ni living zinamove na ni cells zinakula zinaexcrete kila kitu so cell zote Zina roho? Viruses na mimea Ina roho? Mbona unakuwa na akili za muarabu wa 1000 CE
 
Uongo mkubwa na wa kijinga ni mtu kuona kitu kwa macho yake halafu anasema hicho kitu kimejitengeneza chenyewe, hivi hatuoni uwepo wa mungu katika uzalishaji wa viumbe? Mfano mwanamke na mwanaume pindi wanapokutana na kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa kwenye kipindi cha yeye kushika uja uzito mbegu za kiume na mayai ya kike yakikutana yanafanya umbwaji wa mwanadamu, na mchakato unaotokea kwenye tumbo la mwanamke ni wa ajabu sana mpaka pale anapojifungua mtoto, hivi haya yote yanafanyika kwa uwezo wa nani? Kuna jopo na mabingwa wa matabibu wanaotengeneza nyama, mifupa ya mtoto? Kuna timu ya mabingwa ya matabibu wanaokwenda kutengeneza sura ya mtoto? Hivi ikiwa utakuwa umeshindwa kujua maana ya Mungu na uwezo wake ni bora uwaulize wenye kujua. Wewe umekuwa mfano wa hakimu ambaye kesi umeitunga wewe na ushahidi unao wewe na hukumu unaitoa wewe. Maandiko uliyoyasoma yote hukuyafahamu kwasababu uemyasoma kwa utashi wa nafsi yako ambayo akili yako imegubikwa na maarifa potofu. Kwanza huna mamlaka ya kumpinga Yesu (A.S), kwa kuwa historia inamjua Yesu na ujumbe wake aliyokuja nao kwa watu wake. Na pia huna mamlaka ya kumpinga Muhammad (S.AW.) kwa kuwa historia inamjua na ujumbe aliyokuja nao, leo tunaweza kusema kuwa ulimwengu umestaarabika kwa kuwa na mafundisho ya hawa mitume wa Mungu, ikiwa duniani tutaishi pasipo na kuwa na khofu ya Mungu basi kila mtu angejifanyia chochote kile anachokiona ni sawa lakini kutokana na khofu hiyo ya Mungu binadamu wameweka desturi ambazo asili yake ni mafundisho kutoka kwa hao wajumbe wa Mungu ili wapate kuishi kwa salama. Ingekuwa hakuna Mungu basi duniani pasingekuwa salama, mwenye nguvu ndiye angekuwa mwenye kutawala, lakini leo tunaona tuna raisi mwanamke na analindwa na jinsia zote kwa kuwa wanaogopa kwenda kinyume na kazi zao ambazo wamekula kiapo kila mtu kwa imani yake ya kuitekeleza kazi yake kwa weledi.
1.Umeongea point ukamtaja Muhammad sijui uneharibu kila kitu...
2. Hiyo hiyo dini ya uislamu ndo inaleta machafuko dunia nzima na unyanyasaji wa wanawake na watu wasioamini dini hio
3. Kama wewe Leo hii unahitaji kitabu kukuambia usiue ndo utaenda mbinguni afu wewe ndo hauui..kitabu hicho hicho kimekuambia ua wasioamini, ua wazinzi, ua mashoga...si utafata...so tayari we sio mtu mwema unaendeshwa na sheria za muarabu mmoja tu...
4. Nchi zipo kibao Including Tanzania ambayo haiendeshwi kwa misingi ya dini na watu wanaishi vizuri tu asa sijui unataka tuwe Taliban usiruhusiwe kunywa hata Serengeti lite
 
Huelewi hata uliloliuliza.
Ukisema tutafute mtu atuongoze kusoma biblia sijui mtu wa kiroho kumbuka kwamba hao hao watu wa kiroho hawawezi kukubaliana kuhusu Mambo mengi tu kwenye biblia ndo maana makanisa na madhehebu ni mengi na kila mtu ana namna yake ya kutafsiri kivyake
 
Ndio maana umemtamka....hayupo usingemtamka....! Na kwa kumtamka hivyo wanaomfaham wote wameweza kumtofautisha na Batman.
😂Okay so is he real lyf au ni fiction..? If ni fiction tu na in real lyf hayupo same as ur god. Ndo maana Kuna movie na story za Mungu wa dini mbalimbali
 
Ukisema tutafute mtu atuongoze kusoma biblia sijui mtu wa kiroho kumbuka kwamba hao hao watu wa kiroho hawawezi kukubaliana kuhusu Mambo mengi tu kwenye biblia ndo maana makanisa na madhehebu ni mengi na kila mtu ana namna yake ya kutafsiri kivyake
Mtafute unayekubaliana naye.
 
Yaani😅😅 mwafrika akifika ulaya basi na kujua kingereza anajiona ana uwezo wa kutosha kupinga kuna uwezo wa Mungu , inawezekana ni majaaliwa tu mpaka kusoma na kufika huko.

Lakini anajiona kashakuwa genius hao wazungu wanaamini kweny Mungu tena wanasayansi nguli walioandikq vitabu unavyosoma.
Bro sio lazma hata usome Sana hivi ushawahi kukaa vizuri ukasoma bible sio verse mbili unazopewa na mchungaji sijui Jesus loves u...yaani usome story story za Bible vizuri kwa utulivu afu try to make sense...😂utaishia kucheka sometimes lyk nimeaminishwaje hivi
 
Sayansi hakuna ilichogundua kipya...maana hakuna kipya ila imefanya yasiyofahamika vema kwa binadam yafahamike...mfano: viumbe hai na mifumo yake, hewa, umeme, anga na sayari zake ipo tangu hapo... sayansi hijagundua isipokuwa imeleta utambuzi wa kujua jinsi inavyofanya kazi, ambapo hata hivyo hajajulikana kabisa ndio maana bado changamoto zake ni nyingi....tukija kwenye technology ni copy, replicate and paste....mfano, gari ,ndegeni copy ya movement ya viumbe wengine, memoy copy ya ubongo, camera copy ya jicho na vingine vingi....hiyo sayansi isiwadanganye mkajaa kiburi cha uzima...wakati hata majibu ya ulimwengu ulitokeaje na ikawaje tufe kubwa kama dunia na mengine mengi kuelea pasipo kushikwa na chochote mpaka leo hakuna majibu.
Okay so we hujui ulimwengu umetokea wapi solutions ni kumsikiliza yoyote yule utakayekutana nae ambae atakuambia Mungu wa dini yake ndo katengeneza ila ye hajatengenezwa na anataka ufate sheria hizi or else unakaangwa Kama sato?
 
Back
Top Bottom