Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

NAMWAMINI MUNGU,NAAMINI YUPO INGAWA SIWEZI KUTHIBITISHA ILA ACHA NIAMINI NA KUBAKI HIVO.
Atleast wewe umeelewa maana ya imani.

Lakini ukweli kuwa Mungu huyo hayupo, haumzuii mtu yeyote kuamini kuwa Mungu yupo.

Kwamaana Mungu yupo kama wazo tu kukusaidia kujibu maswali magumu kirahisi kwasababu huyaelewi katika uhalisia.

Yaani unaamini Mungu kwasababu hujui vitu tu, na unatafuta jibu moja la uongo ambalo litakufanya uwe comfortable na si vinginevyo.

Self delusion is a gift of natural selection.
 
Wanao pinga kwamba eti Mungu hayupo. Lakini kiukweli, hajui hata wanae mtafuta, ndicho nilicho gundua wengi wamtafuta kamavile ni ni mtu wakati Mungu si mtu. Pili njia mnayo itumia kumtafuta tatu mnachokitafuta kwake hamkijui ndiyo maana itimisho. Mnaishia kusema hakuna Mungu, namakejeli mengi Mimi huwa naishia kuanglia.
Bac Mungu angekuwepo na ni mmoja...mbona kila mtu ana chake, kila mtu ana dhana zake na sheria zake... 😂
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kuua watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Toka nimegundua hili nishaacha kwenda kanisani nina karibia miaka 20
 
Uthibitisho wa kwanza Mungu yupo ni wa kiasilia wala hakuna haja ya kupiga kelele.

Ipo hivi ,jamii zetu kihistoria hata uende kwa wahadzabe wanaoishi porini kuna kitu wanaabudu ambacho ni imagery yaani kinabaki kama imani ya moyoni ,wanaweza kuabudu hata mti kwa sababu mambo yanayotokea dunia hakuna kiumbe hai (anayeonekana anaratibu hayo mambo) kama magonjw ,vifo ,ulemavu ,watu kuzaliwa na jinsia tofuati & watu kuzaliwa na kasoro....Mfumo mzima wa maisha ya binadamu hakua ajuaje kesho ina maana akili ya binadamu hata yule primitive kabisa kama mnavyosoma alikuwa anaabudu kitu ambacho kipo kweny ulimwengu wa kiroho.



Binadamu wa zamani walikuwa na upeo mkubwa sana wa mambo ndio maana waliweza kuabudu hata miti na mizimu kwa sababu walijua binadamu halisi hana achojua kuhusu kesho yake ,kama laiti angejue angekuwa mtu wa kuhairisha mambo (procrastinating ) ...Nina maana gani kama mtu leo anajua anaenda kupata ajali basi asingeenda hiyo safari wala kupanda hiko kipando (gari, pikipiki,baiskeli)


Maisha ya binadamu ni fumbo hata yule Hawking na kejele zote ila kaishia kuwa zombie(paralyzed) hajielewi yaani yeye pia na akili zote hajui kesho yake ,je kapenda kuwa vile wakati alihangaika kujibu ikashindikana mpaka kama kama zombie mpaka umauti unamfika..

Wanakuja wazungu na wanasayansi nguli✍️✍️
Mapema kabisa wanadamu anapoanza kufanya ugunduzi anakujw kugundua kila kinatokea katika "muunganiko wa hatua na force zinawezesha hilo jambo kufanyika" finally wanakuja kukubali kila kitu kinaendeshwa na "mechanism" ina maana kutokea kwa kila kitu kuna sababu...

Mbegu lazima ipande kweny ardhi kama sio lazima labda maabara basi lazima ipate mwanga na oxygen ,mtoto lazima patokee muingiliano wazazi kama ni surrogance lazimq mbegu za wazazi zikutane ...
Ina maana hata utengenezaji wa vitu dunia mpaka ndege na magari ,wataalum walitumbia formular ya mechanism na kufanya kitu fulani kifanye hivi kama ni gari itembee ,kama mashine izalishe .

Je ulimwengu huu hauna mechanism?✍️ Na kama zipo je ni nn kipo chum ya mechanism hzi zinazoleta usiku na mchana ,kuzama kwa jua,kupata majria mbalimbali ya mwaka...kama mvua hutokana na miti mbona jangwani inayesha japo kwa uchache ..


Kuna binadamu anapenda kuzaa mtoto chizi ? Kuna binadamu anapenda kufeli mitihani yake ya kimasomo ? Kwa nn wengine wapo vizuri darsani na wengine la basi tuseme ni genetic zq ukoo na familia ila ipo familia ina vipanga na bado kuna mwamba anakuja kulamba zero kutoka familia hiyo hiyo.

What if kama binadamu wasingekuwa tofauti yaani wote wapo sawa ni wazima(hamna mgonjwa) ,wote wana pesa, wote weupe ,wote jinsia moja .
..

Ni kwamba tusingekuwa na mfumo wa kiutawala kwanza baina yetu na pia isingekuwa dunia hii tunaoishi.
So ur point is?
 
Binadamu ukianzia milango yake ya fahamu na mifumo ya dunia yote ni dhaifu.

Ndo maana hauwezi kusikia sauti ya mtu aliyopo kms 10 mpaka utumie simu (escorting aid) ..Ukizungumzia milango ya fahamu kuhisi ,kusikia, kuonja ,kuona mengi hata kuna watu wanazaliwa vipofu kabisa..

Waafrica hata wazungu wanaabudu mizimu hapa sitakueleza zaidi ni vip wazungu wanaabudu? wazungu kama unabisha kawaulize hata wanaokaa na wazungu wapo wenye imani za mizimu (sio kama ya Africa) ila ndo hivyo wanaabudu kitu hawakioni.

Kama una akili timamu maziko ya Queen Elizabeth yamefanyika kimatambiko na imani kuna vitu walificha ,plus kusimikwa mfamle mpya pia walifanya kama waafrica ..

Uhusiano wa Mungu na mwanadamu upo kiroho sio kuhisiwa kwenye milango ya fahamu ,leo uki-paralyze mwili mzima unaweza usifanye kazi kwa kukosa ushirikiano ila unakuwa upo hai kutokana na roho yako ipo hai..
😂😂😂Ubongo upo hai pia...sio roho ..soma Sayansi dogo acha kujikosha...hujaprove chochote hapa.. umeprove tu duniani Kuna wajinga wengi bac
 
Gesi ya oxygen ipo?

Achilia mbali kuwepo
Wahuni wakuitwa sayansi wanaitengeneza wanaijaza kwenye mitungi na inaokoa baadhi ya watu hospitali
Inatumika kwenye nyambizi chini ya maji na anga za mbali nje ya dunia
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao wenye miongozo si ndo wachungaji wa madhehebu na makanisa laki moja duniani... ingekuwa easy hivyo si ukristo ungekuwa mmoja...

Una hoja nzito mkuu
Uzingatiwe
 
Hiyo sio hoja kwamba Mung hayupo labda upande huo ndio ndio una maelezo yanashindwa kueleza uungu huo.

Mungu yupo ndio maana watu wanaabudu mizimu yote wanalenga sifa za Mungu mweny uwezo wa kiutawala hapa dunia ...Watu wa approach tofauti ila lengo Mungu huyo.

Mtu anaweza kuabdu sanamu kama Mungu ,wengine miti kwa sababu nafsi ya binadamu inatambua uwezo wa Mungu ishu ni kumjua Mungu wa kweli ndio tatizo kutokana na sifa ...

Unaweza kusema unategemea sanamu ndio Mungu halafu sanamu hilo umelichonga mwenyewe 😂😂😂
😂Asa hapa si umeprove ni dhana coz naweza tengeneza sanamu nikaomba mvua ikanyesha so sanamu yule ndo Mungu au...na mwingine hajaomba ila mvua imemnyeshea pia...
 
Achilia mbali kuwepo
Mwahuni wakuitwa sayansi wanaitengeneza wanaijaza kwenye mitungi na inaokoa baadhi ya watu hospitali
Inatumika kwenye nyambizi chini ya maji na anga za mbali nje ya dunia
Swali hili lina mlengwa na limeulizwa kwa sababu. Ajibu yeye
 
Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
Maneno ya biblia ni kitu gani na yana umuhimu gani wakati ni mahadithi ya uongo tu!?

Hakuna sehemu yeyote mzungumzaji amesema kwamba haamini katika Mungu kwasababu hamuoni.

That is a straw man argument

Lakini pia, Nkikuweka sehemu yenye hewa unao uwezo wa kutambua uwepo wa Upepo kupitia pua yako.

Nkikupeleka kwenye sayari nyingine kama Mercury au kwenye space, hiyo unayoiita hewa hutoihisi wala hutoivuta kwasababu haitokuwepo.

Upepo unaouwezo wa kuuhisi kwa ngozi yako.

Hivyo upepo na hewa vinathibitishika kabisa kwa milango ya fahamu.

Je kuhusu Mungu unawezaje kutambua uwepo wake?
Unaweza thibitisha uwepo wa Mungu!?
 
Baba yako unaweza kumuita mkatili kwa KUTOMTII...atakufungia bandani siku 2 bila ya kula.....kama inawezekana kwake ni kwanini isiwezekane kwa Mungu kwa KUTOTII maagizo yake na mwishowe akakuadhibu?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Wewe hata mtoto wako akufanyaje huwezi mchoma Moto Tena milele. Imagine this mtoto wako hajawahi kukuona hajawahi kukuskia isipokuwa kwa watu afu baadae ukutane nae umchome kisa hajaamini upo si utaonekana kichaa
 
Mungu yupo na binadamu wote ni hulka kuwa na mitihani sio rahisi uumbwe dunia ukae tu bila ya kusumbua akili ,hiyo sio tabia ya kibadamu lazima watu wahangaike dunia na ili kuonyesha ushupavu ni kukabiliana na mitihani hata shule unapewa mitihani kuangali uwezo wako ukoje.

Kumjua Mungu hata wewe unamjua ndio maana unakataa yesu sio Mungu kwa vile kateswa na binadamu , basi huo unayemfikria ndio huyo Mmoja na hawezi kuteswa msalabani.

Mungu sio katili kama unavyofikria ,Mungu ni mwema anasamehe Mfano imagine hapa kuna watu wanadhulumu ,wanaua watu ila bado wapo hai ni kwamba wana mda wa kutubia ...Ila hapa Tanzania ukiua leo ukikamatwa kisheria unapewa hukuma ila hukumu za Mungu hazipo hivyo.


Ushwahi kukutana na binadamu wanadhulumu haki za watu kama pesa hawa ndio hawana huruma kabisa ,wanaibia mpaka masikini tena viongozi kabisa hawa ndio hawana huruma.
😂Soma torati na walawi na Quran afu usome hukumu zake naona unajikosha
 
...kifo na jehanum inayosadikika ndio inawafanya watu waamini na kumwogopa MUNGU... Na ni bora ukawa na imani kuliko kutoamini uwepo wa MUNGU
😂 Paschal's wager...imekuwa debunked na watu kibao...yaani ni kama unambetia Mungu ..😂haya Mungu yupi Yesu au Allah coz huwezi amini wote lazma uchague mmoja ndo usiende motoni..na ukikosea we tayari mshkaki
 
Back
Top Bottom