baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 398
- 544
Ikumbukwe kwamba waandishi wa biblia walishakufa! Chaajabu bible bado inaandikwa na wahuni Kila kukicha Kuna mabadiriko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi shule usome history afu uniambie Zanzibar waarabu walikuwa hawanunui watumwa waafrika. Na usome Quran uniambie Kama haijaruhusu utumwa...ukimaliza Rudi. Acha kujikosha na dini za wazazi wakoSi kila maji ni ya kunywa na si kila dini ni ya kihuni, usipite kwenye njia za mkato katika kuhukumu kitu, kwanza pata maarifa ya kina kuhusu jambo halafu ndiyo uweze kutetea msimamo wako. Tofautisha kati ya dini na wafuasi wa dini. Wazungu walitudharau waafrika kutokana na mafundisho ya Biblia kuwa Ham mtoto wa Noah alilaaniwa na baba yake kwa kuwa alimcheka pindi alipolewa na kuwa uchi (soma Genesis 9:20-27), na Ham ndiyo baba wa waafrika, na ndiyo miongoni mwa sababu waliyoipata hao wazungu kutufanya watumwa na kututawala. Waarabu wamesambaza dini si kwa ajili ya kiuchumi bali ni kwa ajili ya kuwalingania wanadamu katika kumuabudu Mungu Mmoja. Hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye kutegemea uchumi wake kutoka nchi za Afrika. Na hakuna imamu mwenye msikiti wake, misikiti si mali ya watu, mtu anaweza akajenga msikiti na akauendesha kwa pesa zake au kwa michango ya waumini. Dini ni neno lenye tafsiri pana sana, itabidi ufanye utafiti ili kujua kwanza nini maana ya dini.
Why do u care...si ushakufaShida ni kwamba ukifa utazikwaje
Nimekuambia wewe hicho unachokisemea unakipa majina mengi Mara roho nafsi fikra mawazo utashi etc ni product of brain activities. Kama unataka kubishana na Mimi tu for the sake of kubishana endelea ila ukweli ni kwamba huna elimu ya biology hata ya form 4. 😂Afu wanyaka ni Nini...so miti inaroho... nayo?Kwa nni mtu ajidhuru mwenyewe ?
hata ukikatwa kichwa hautoishi kila kiumbe kina nafsi chenye kuhisi maumivu .. Ukizungumzia nadharia ya Mungu mpaka mimea na wanyaka sasa kaangalie kama viumbe wote wana ubongo.
😂Aaah bac kuhusu uwepo wa Mungu utaishia kusema hoo sijui **** limetokea wapi nani kalifanya tamu...afu Sina mda wa kujibu maswali ya kitoto Kama haya..so nakuachia kina smotor na kiranga.Tunazungumzia uwepo wa Mungu kiakili sio vitabu vilivyoandikwa na wanadamu.
😂😂😂😂ingia Google fact check kuhusu hio titanic sio kila chain message za walokole za Whatsapp unaamini una akili una simu vitu vingine fuatilia😂😂😂Wewe unamjua na aliyetengeneza aliambiwa je ina usalama kiasi gani je alijibu vip?
Yule zombie wenu stephen hawking na uongo wake mbona kateseka kama zombie na alikuwa mzima mpaka akafa😂😂😂.
Yaani tatizo lake la kuparalyse kalishindwa mpaka kawa kama zombie ,wew unamuamini kwa kusema hamna Mungu.
Machafuko hayawezi yakaletwa na uislamu hata kidogo, waislamu hawawezi kufanya machafuko kwani si katika mafundisho yao. Mungu ametukataza kutoa uhai usiyokuwa na hatia, lakini ikiwa nafsi itatenda maovu yapasayo kufa basi sheria itafuata mkondo wake. Hakuna kulazimashana katika dini ya kiislamu ikiwa huiamini basi ni wewe mwenyewe unaweza usiifuate, lakini usije ukaleta fitina kwa kufanya propaganda za kuihujumu dini na wenye dini, hapo hutoeleweka. Nchi zinazofuata dini za kiislamu tunaziona zilivyo na nchi zinazofuata ukristo na dini zao tunaziona jinsi ustawi wa jamii zao. Billy Graham alipata kuandika "Ikiwa Mungu hataiadhibu Amerika, basi itabidi awaombe radhi watu wa Sodoma na Gomora" Billy Graham: 'My Heart Aches for America'
Tanzania haiendeshwi na dini lakini raia zake wana dini zao na ni kweli tunaishi vizuri tu, ila wakati mwingine wanasiasa wanawapoteza hawa waumini maboya. Taliban ni zao la amerika
View: https://www.youtube.com/watch?v=AwpR6ngoSjQ
😂😂😂Si ndo kazi ya mapafu lakini fikira zako ni ubongo huo sio roho sijui moyo kama watu wa zamani walivyokua wanafikiria. Bac all living things Zina roho okay so nikikojoa shahawa zile sperm cells Zina roho so Kuna zingine zitaenda motoni...😂unabidi uwe mjinga Sana kuamini diniUnaelewa roho ni nn? 😂😂 Wewe sayansi uliyosoma ni ile iliyoandikwa sio uhalisia ...Kiumbe kilichokuww hai kina roho na ndip inafanya kihisia maumivu na mambo mengine .
Kweny sayansi unaambiwa kwa binadamu ubongo ndio unatafsiri kila kitu ila bado utaambiwa ubongo ndio kila kitu ila kuna kitu kinaitwa kupumua(pumzi) 😂😂
😂kamtishe na bill gates na Elon musk basiView attachment 2744882
Huyu alikuwa mzima😂😂na alisema hamna Mungu ,hajui kesho yake hatimae kawa zombie mpaka anakufa😂.
Mungu yupo hata wewe hujui kesho yako ..Hujafa hajaumbika.
😂Shetani hajawahi fanya kosa lolote according to bible... Tena Mungu ndo muongo aliwaambia on the day wanakula tunda watakufa...😂later bibles wameedit hio on the day..Cha ajabu shetani kaongea ukweli tutakuwa Kama Mungu...Leo hii tunaweza kwenda mars tunapita nyumba ya Mungu (mawinguni) hata kwa fly Emirates tu...Halafu kuna swali moja huwa najiulizaga kwani shetani alifanya kosa gani? Kwa mtu atakayenionyesha Kosa lake i think ntatoa zawadi hata milioni
Wanyama ndio nilikosea nikaandika wanyaka .!Nimekuambia wewe hicho unachokisemea unakipa majina mengi Mara roho nafsi fikra mawazo utashi etc ni product of brain activities. Kama unataka kubishana na Mimi tu for the sake of kubishana endelea ila ukweli ni kwamba huna elimu ya biology hata ya form 4. 😂Afu wanyaka ni Nini...so miti inaroho... nayo?
Sasa we unaoandika ndio utoto kabisa eti biology .😂😂 Mwaume unasema eti biology ndio ushahidi .😂Aaah bac kuhusu uwepo wa Mungu utaishia kusema hoo sijui **** limetokea wapi nani kalifanya tamu...afu Sina mda wa kujibu maswali ya kitoto Kama haya..so nakuachia kina smotor na kiranga.
😂Yule kapambana ndo kafika pale hajalala kwa mwamposa kuombewa gari... na ukitaka na wewe pambana...Eeh!!unakuja sasa hayo matatizo yote hakuna anayependa ila ni maajaliwa ya Mungu ..
Sijasema kama Stephen Hawking kapata laana ya Mungu ila point yangu👉👉hata yeye na ujuaji wake wote alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile pia kashindwa kulilitatuq tatizo hata madaktari wanaomzunguka .
Ndio maana hata wewe leo kwa pesa huwezi kumfikia hata Diamond sio kama umependa ila yule kapangiwa japo wanaopambana kama yeye wapo wengi na walikuwepo ,hizi ni neema ila kupambana ili kutafuta neema na riziki ni lazima except kuwa tajiri au maskini ni neema pia maana hakuna mtu anapata vile anapenda jpo wachache wanapata.
Zombie but you dont even posses a single drops of your brain activities...Even your Whole Clan brain's zikiunganishwa ham-mfikii hata robo kwa mchango wake kwenye Physics na Mwanasayansi pekee Aliyetuletea Morden Quantum Mechanics Ukiacha ile ya Albert einsteinsSasa zombie yule wa nn tena ?
Babu yangu ana miaka 90 na kitu na anaelekea 100 sio zombie na huyo jamaa yako ambaye tafiti zake ni za kizamani labda anwashikia akili ukoo wenu na phd yako ambayo hujagundua hata kiberiti.
Wewe unamsikiliza mtu ambaye ana nadhari za kizamani yaani , hiyo elimu yako ya kumsoma Hawking ndio umekuja kuwa mjinga unayevaa suti ila huwezi kufikria hata Hawking ambaye kashindwa kutatua tatizo lake akikuambiwa wanaume wanaoana unawezq kukubali kuolewa sio?😂
So mimea Ina roho? Na plasmodium?Wanyama ndio nilikosea nikaandika wanyaka .!
Roho ni uhai wa binafsi na nafsi inabeba hulka za kibadamu kama tabia ,uelewa.
😂Sio kazi yake ..ni sawa nitengeneze gari afu uniambie kwa Nini haipai...sio kazi yake? 😂Usiforce....Sasa we unaoandika ndio utoto kabisa eti biology .😂😂 Mwaume unasema eti biology ndio ushahidi .
Sasa niambie kwa nn biology inashindwa kuzuia kifo?
Tunaongelea uwepo wa Mungu ,usikimbilie sijui motoni😂😂..😂😂😂Si ndo kazi ya mapafu lakini fikira zako ni ubongo huo sio roho sijui moyo kama watu wa zamani walivyokua wanafikiria. Bac all living things Zina roho okay so nikikojoa shahawa zile sperm cells Zina roho so Kuna zingine zitaenda motoni...😂unabidi uwe mjinga Sana kuamini dini
Kuna ulazima wa kuinvoke god...kwani hizo cells si alikuwa nazo naturally tokea anazaliwa na circumstances zimetokea kawa vile na madoctor wanaelewa...Kuna haja ya kusema god did itSijasema kapata laana ya kumpinga Mungu ! Point yangu ni kwamba hata yeye alikuwa hajui kesho yake kama atakuja kuwa vile yote yale ni mambo yapo nje wa uwezo wa binadamu ...who is managing all these uncertainty?
Hapo ndio tunasema ni mpango wa Mungu sio laana maana hata yeye hajui kesho,sisi yeye tu hata mimi na wewe.
SAFI SANA Jibu zuri sana 🤣😀😀😀😂Shetani hajawahi fanya kosa lolote according to bible... Tena Mungu ndo muongo aliwaambia on the day wanakula tunda watakufa...😂later bibles wameedit hio on the day..Cha ajabu shetani kaongea ukweli tutakuwa Kama Mungu...Leo hii tunaweza kwenda mars tunapita nyumba ya Mungu (mawinguni) hata kwa fly Emirates tu...