Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Ikumbukwe kwamba waandishi wa biblia walishakufa! Chaajabu bible bado inaandikwa na wahuni Kila kukicha Kuna mabadiriko!
 
Hayo mambo yamefanya watu waache kutegemea hirizi na kuamini rozari!
 
Rudi shule usome history afu uniambie Zanzibar waarabu walikuwa hawanunui watumwa waafrika. Na usome Quran uniambie Kama haijaruhusu utumwa...ukimaliza Rudi. Acha kujikosha na dini za wazazi wako
 
Kwa nni mtu ajidhuru mwenyewe ?

hata ukikatwa kichwa hautoishi kila kiumbe kina nafsi chenye kuhisi maumivu .. Ukizungumzia nadharia ya Mungu mpaka mimea na wanyaka sasa kaangalie kama viumbe wote wana ubongo.
Nimekuambia wewe hicho unachokisemea unakipa majina mengi Mara roho nafsi fikra mawazo utashi etc ni product of brain activities. Kama unataka kubishana na Mimi tu for the sake of kubishana endelea ila ukweli ni kwamba huna elimu ya biology hata ya form 4. ๐Ÿ˜‚Afu wanyaka ni Nini...so miti inaroho... nayo?
 
Tunazungumzia uwepo wa Mungu kiakili sio vitabu vilivyoandikwa na wanadamu.
๐Ÿ˜‚Aaah bac kuhusu uwepo wa Mungu utaishia kusema hoo sijui **** limetokea wapi nani kalifanya tamu...afu Sina mda wa kujibu maswali ya kitoto Kama haya..so nakuachia kina smotor na kiranga.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ingia Google fact check kuhusu hio titanic sio kila chain message za walokole za Whatsapp unaamini una akili una simu vitu vingine fuatilia
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚okay naona Iran Ina ustawi kuliko Sweden sawa...
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Si ndo kazi ya mapafu lakini fikira zako ni ubongo huo sio roho sijui moyo kama watu wa zamani walivyokua wanafikiria. Bac all living things Zina roho okay so nikikojoa shahawa zile sperm cells Zina roho so Kuna zingine zitaenda motoni...๐Ÿ˜‚unabidi uwe mjinga Sana kuamini dini
 
Halafu kuna swali moja huwa najiulizaga kwani shetani alifanya kosa gani? Kwa mtu atakayenionyesha Kosa lake i think ntatoa zawadi hata milioni
๐Ÿ˜‚Shetani hajawahi fanya kosa lolote according to bible... Tena Mungu ndo muongo aliwaambia on the day wanakula tunda watakufa...๐Ÿ˜‚later bibles wameedit hio on the day..Cha ajabu shetani kaongea ukweli tutakuwa Kama Mungu...Leo hii tunaweza kwenda mars tunapita nyumba ya Mungu (mawinguni) hata kwa fly Emirates tu...
 
Wanyama ndio nilikosea nikaandika wanyaka .!

Roho ni uhai wa binafsi na nafsi inabeba hulka za kibadamu kama tabia ,uelewa.
 
๐Ÿ˜‚Aaah bac kuhusu uwepo wa Mungu utaishia kusema hoo sijui **** limetokea wapi nani kalifanya tamu...afu Sina mda wa kujibu maswali ya kitoto Kama haya..so nakuachia kina smotor na kiranga.
Sasa we unaoandika ndio utoto kabisa eti biology .๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mwaume unasema eti biology ndio ushahidi .

Sasa niambie kwa nn biology inashindwa kuzuia kifo?
 
๐Ÿ˜‚Yule kapambana ndo kafika pale hajalala kwa mwamposa kuombewa gari... na ukitaka na wewe pambana...
 
Zombie but you dont even posses a single drops of your brain activities...Even your Whole Clan brain's zikiunganishwa ham-mfikii hata robo kwa mchango wake kwenye Physics na Mwanasayansi pekee Aliyetuletea Morden Quantum Mechanics Ukiacha ile ya Albert einsteins
 
Sasa we unaoandika ndio utoto kabisa eti biology .๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mwaume unasema eti biology ndio ushahidi .

Sasa niambie kwa nn biology inashindwa kuzuia kifo?
๐Ÿ˜‚Sio kazi yake ..ni sawa nitengeneze gari afu uniambie kwa Nini haipai...sio kazi yake? ๐Ÿ˜‚Usiforce....
 
Tunaongelea uwepo wa Mungu ,usikimbilie sijui motoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

Kwani hata biology yako si inakuambia sperms zinakuwa njiani kuelekea kweny yai...Mbona unaambiwa sperms hazina nguvu ya kutungisha mimba ?

Roho ni uhai wa mtu na haipo kooni ni popote pale hata chambo yule ambaye hana ubongo ana roho usikariri kila kiumbe kina ubongo.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna ulazima wa kuinvoke god...kwani hizo cells si alikuwa nazo naturally tokea anazaliwa na circumstances zimetokea kawa vile na madoctor wanaelewa...Kuna haja ya kusema god did it
 
SAFI SANA Jibu zuri sana ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Challenge iendeelee yeyote atakayekuwa na Kosa alilofnya shetani aniambie maana mimi kupingana na Bible sioni kosa lake nitatoa pesa Taslimu.....Hata Vocha nitamtumia akitaka PM HATA ZA 200K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ