Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari

Hakuna ujasiri wowote mkuu

Dhana nzima ya Mungu does not make sense at all
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Hata wewe unaye jidai kumtetea na kumjua Mungu Utakufa na kupita.

Mfano wako huu wa kwamba "tunapita" Hauna mantiki yeyote ya kuonesha uwepo wa Mungu.

Thibitisha Mungu yupo na si mawazo yako ya kufikirika.
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kuua watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever

Nimekuelewa sana tu
Haswa hapo kwenye kumruhusu msaidizi wake walioshindwana naye kuja kutusumbua huku duniani
 
Mkuu hakawii kukwambia eti wewe ndio uthibitishe hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,

Kisicho kuwepo Haki hitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kusikika au kushikika.

Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo either ya kuonekana, kusikika au kushikika.

Sasa Mungu hayupo kwa namna yeyote ile, Haonekani, Hashikiki wala Hasikii.

Ni dhana ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
 
Unapoandika ..."nazijua vizuri hizi dini"... ndiyo sehemu uliyojikaanga kwa mate yako.Lazima uungue tu.Nakudokeza,huna ujualo.Na kama kuna uliyofundishwa basi ulikuwa unapewa simulizi bila kupewa maelezo sahihi ya kiimani na uelewa thabiti.
USHAURI:Kama dini hizo zimekuwa ngumu sana kwako kueleweka ni vema uachane nazo na utafute mbadala uupendao na kuuhitaji.Ni rahisi tu!

We mwenyewe huzielewi ila ni kipofu ndio unaishi na upofu wako na kukataa kuona eti utakufuru dini ni utapeli mtupu.
 
Back
Top Bottom