Uthibitisho wa kwanza Mungu yupo ni wa kiasilia wala hakuna haja ya kupiga kelele.
Ipo hivi ,jamii zetu kihistoria hata uende kwa wahadzabe wanaoishi porini kuna kitu wanaabudu ambacho ni imagery yaani kinabaki kama imani ya moyoni ,wanaweza kuabudu hata mti kwa sababu mambo yanayotokea dunia hakuna kiumbe hai (anayeonekana anaratibu hayo mambo) kama magonjw ,vifo ,ulemavu ,watu kuzaliwa na jinsia tofuati & watu kuzaliwa na kasoro....Mfumo mzima wa maisha ya binadamu hakua ajuaje kesho ina maana akili ya binadamu hata yule primitive kabisa kama mnavyosoma alikuwa anaabudu kitu ambacho kipo kweny ulimwengu wa kiroho.
Binadamu wa zamani walikuwa na upeo mkubwa sana wa mambo ndio maana waliweza kuabudu hata miti na mizimu kwa sababu walijua binadamu halisi hana achojua kuhusu kesho yake ,kama laiti angejue angekuwa mtu wa kuhairisha mambo (procrastinating ) ...Nina maana gani kama mtu leo anajua anaenda kupata ajali basi asingeenda hiyo safari wala kupanda hiko kipando (gari, pikipiki,baiskeli)
Maisha ya binadamu ni fumbo hata yule Hawking na kejele zote ila kaishia kuwa zombie(paralyzed) hajielewi yaani yeye pia na akili zote hajui kesho yake ,je kapenda kuwa vile wakati alihangaika kujibu ikashindikana mpaka kama kama zombie mpaka umauti unamfika..
Wanakuja wazungu na wanasayansi nguli[emoji3578][emoji3578]
Mapema kabisa wanadamu anapoanza kufanya ugunduzi anakujw kugundua kila kinatokea katika "muunganiko wa hatua na force zinawezesha hilo jambo kufanyika" finally wanakuja kukubali kila kitu kinaendeshwa na "mechanism" ina maana kutokea kwa kila kitu kuna sababu...
Mbegu lazima ipande kweny ardhi kama sio lazima labda maabara basi lazima ipate mwanga na oxygen ,mtoto lazima patokee muingiliano wazazi kama ni surrogance lazimq mbegu za wazazi zikutane ...
Ina maana hata utengenezaji wa vitu dunia mpaka ndege na magari ,wataalum walitumbia formular ya mechanism na kufanya kitu fulani kifanye hivi kama ni gari itembee ,kama mashine izalishe .
Je ulimwengu huu hauna mechanism?[emoji3578] Na kama zipo je ni nn kipo chum ya mechanism hzi zinazoleta usiku na mchana ,kuzama kwa jua,kupata majria mbalimbali ya mwaka...kama mvua hutokana na miti mbona jangwani inayesha japo kwa uchache ..
Kuna binadamu anapenda kuzaa mtoto chizi ? Kuna binadamu anapenda kufeli mitihani yake ya kimasomo ? Kwa nn wengine wapo vizuri darsani na wengine la basi tuseme ni genetic zq ukoo na familia ila ipo familia ina vipanga na bado kuna mwamba anakuja kulamba zero kutoka familia hiyo hiyo.
What if kama binadamu wasingekuwa tofauti yaani wote wapo sawa ni wazima(hamna mgonjwa) ,wote wana pesa, wote weupe ,wote jinsia moja .
..
Ni kwamba tusingekuwa na mfumo wa kiutawala kwanza baina yetu na pia isingekuwa dunia hii tunaoishi.
Hujajibu wala kutoa uthibitisho wa uwepo wa MUNGU(Ingawaje mimi nili assume Mungu yupo na nikajaribu ku reason uwepo wake na maandiko yake na nguvu zake na uhalisia uliopo nikaona havileti MANTIKI)
Ulichofanya ni kuchukulia yale mambo ambayo binadamu hana ufahamu nayo na kuhalalisha ni ya Kimungu
Sio lazima binadamu ajue kila kitu na hii sio sababu ya kuhalalisha uwepo wa Mungu
Dhana ya Mungu kimsingi imezaliwa kwa muktadha huo wa kuhisi kuna superpower
Binadamu kapitia vipindi vingi na muda mrefu kuwa hapa tulipo leo na ushahidi wa kimazingira na mabaki vinathibitisha hivyo
Alianza na kipindi kinaitwa unknown, yaani hapa alikua anaishi kama wanavyoishi wanyama porini, hana maarifa yoyote zaidi ya kula kulala na kukimbia maadui
Kadiri vizazi vilivyozidi maarifa yakaongeza akaanza kujua kwanini hiki kinakua hivi na vile na afanye nini
Kadiri vizazi na vizazi akapata ufahamu mkubwa wa mambo mengi sana lakini kuna mambo hakupata kabisa majibu yake
Hapa sasa ndio dhana ya kuwa basi itakuwa kuna superpower inayo control hayo mambo
Hapa sasa zikaanza kuibuka nadharia za “Mungu”
Ziliibuka dhana nyingi kila mtu akaabudu kulingana geography ya alipo, wapo waliabudu jua mwezi bahari miti mapango nk nk
Kuna watu wawili ambao walishawishi sana watu kuwa wametumwa na Mungu ambao uongo wao ulipata mashiko sana
Watu hao ni Yesu na Mohammed(walikuwepo na wengine kama daudi musa nk)
Walifanikiwa sana kwasababu kwanza walikua very smart kichwani kujua namna ya kucheza na akili za watu
Wote wawili hawakuanzisha dini zao from za scratch, walichofanya wao ili kupata watu waliokua wana imani zingine ni kuwahadaa wamekuja kukamilisha walipoishia wengine na wao kupewa maelekezo mapya na Mungu
Yesu alisema amekuja kuijazilizia torati zaburi nk hivyo watu wote waliokua na imani toka Musa hadi Yohana wamkubali maana hapingani nao bali kaja kujazilizia nyama
Same applied to Mohammed, yeye alijifanya anaongea na Mungu na kaja kujazilizia nyama torati zaburi injili hivyo waliokua na imani toka enzi ya Musa hadi Yesu wamkubali
Kwahiyo hata sasa waamini Mungu mmebakia na nadharia ile ile ya lazima kuna kitu ambacho kina majibu ya vitu tusivyo vijua ambacho ni MUNGU