Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
- Thread starter
- #101
Ugumu kwa binadamu wote in terms of shida na matatizo uwe mzungu au mwafrika lazima upate ugumu kweny nyanja yeyote ile ya maisha ...Huo ugumu ndio kuwafanya binadamu wawe swa ulimwengu mzima .
Wewe unamtaka Mungu zaidi kweny nn labda ? Umuone ili labda unataka nn haswa?[emoji23][emoji23] Mungu amekupa akili na mambo mengine ya vipawa ili usiwe mtumwa wa binadamu mwenzio kwa kumuabudu binadamu mwenzio ambye kesho anaweza kufa je utamtegemea nan?
Sio kuungua na kibiriti nishapata ajali kabisa na baadhi walikufa katika ajali hiyo.
Mungu yupo milele
Mimi Zizungumzii ugumu wa maisha........ ingawaje haiingii akilini inakuwaje kosa afanye Adam na Hawa adhabu tujekupewa watu wote duniani wakati hatukuwepo wakati wanafanya hayo makosa..... this is not fair at all
Just imagine Mungu kawaumba wawili tu duniani tena wakiwa bado wageni duniani akawapa shetani(nyoka) awarubuni
Na alipo warubuni aka walaani na kutupa suluba hadi ambao hatujazaliwa.... huyu Mungu wa ajabu sana aisee
Back to topic
Ugumu ninao umaanisha mimi ni huo wa kwanini hadi uzame “rohoni” ndio ujue uwepo wake? au wa kubaini Mungu wa kweli ni yupi wakati anajua kabisa watu wanawalisha watoto wao imani na ndio zinakuja kuwa imani zao?
Wakati huo ukikosea tu “Mungu sahihi” huo moto unao ujua wewe utachomwa nao MILELE na MILELE
Kwanini kumjua Mungu isiwe rahisi kama 1+1=2 ?
Ili watu tumjue Mungu wa kweli na kumuabudu tukale bata peponi...... HII NDIO SABABU NATAKA KUMJUA KAMA YUPO
Utumwa ulikuwepo na vitabu vya mungu vinaujua na kuutambua ni halali kabisa.
Ni akili za binadamu zilizo upiga marufuku sio MUNGU
Mbona hii dhana ya Mungu ina jitengeneza kama ni jitu fulani katili sana linalo mtega tu binaadamu ili limtupe jehanamu?
Au ndio maana aliumba jehanamu mapeeema ili aje atusulubu?