Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Maswali mazuri sana!Je kitu hicho kinacho abudiwa bila kuonekana kimeleta matokeo gani chanya yaliyo msaidia binadamu?
Kwa nini tena inabidi sayansi na wanasayansi waumize vichwa vyao kufanya utafiti na uchunguzi wa kisayansi kurahisisha maisha ya mwanadamu.
Kwa nini nguvu hizi za kiroho zishindwe kufanya kazi katika uhalisia wa kuonekana?
👉kitu kinachoabudiwa kimeleta uunganisho wa binadamu weny rangi ,asili ,jinsi ,uwezo ,lugha , elimu ,kipato wote kuwa sawa chini ya jua na kwamba wao wote ni wamoja ...what if nje ya Mungu ni kwamba wazungu wanaamini sisi waafrica tulikuwa nyani!?bila ya Mungu wetu kuwekea sifa za kibadamu kama kuzaa na kufa unafikria una kitu gani ya kuwambia mzungu wewe na yeye wote ni binadamu ?
👉 Wanasayansi ni binadamu kwanza tutambue pia rejea kiumbe kilichopewa mamlaka na uwezo wa juu dunia ni binadamu ,amepewa vipawa ili kuja kutawala dunia yote kwa namna yeyote ma kila siku mwanadamu anapambania kuyakabili maisha yake hii kutokana na asili ya uwezo wake wa kiakili ... Binadamu anafanya utafiti sio wa kimaendeleo hata wa kumjua Mungu wake ndio maana hata wewe unakataa hamna Mungu ila deep down ukikaa unatafakari "Huyo Mungu ni nan " ...Tangu zamani ushawahi kuona wanyama wakiwa wana maendeleo yani kutoka kuishi msituni mpaka kuwa mjini na kumiliki nyumba ,bali ni binadamu pekee waliishi misituni zamani mpaka sasa wamafika mbali kielimu na kuzidi kupambana na mazingira ila wanyama wapo vile vile miaka millions.
👉Nguvu za kiroho zinafanya kazi ila sio kimiujiza kama unayoamini ,wengi mnataka miujiza ndio maana mnatapeliwa yaani mpaka wewe unataka mambo ya kimiujuzi ndo maana wengi mnapigwa na mitume wa mchongo....Mambo ya kiroho ni mengi kwa vile usipuuze kitu kidogo kama afya tu ni neema kubwa sana ....Mimi naomba niwe na afya njema na mpaka sasa ninayo sio kwamba siwezi kuumwa la hasha naelewa umuhimu wa afya ,kesho naweza kuumwa au wewe kuumwa hata kufa yote ni nguvu ya mungu wakati leo upo mzima leo kuna mtu you ICU mda huu anapambania uhai wakr.