Hii sio kweli, sababu inabidi utuambie umejuaje hakipo ?Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile, Hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana kusikika kushikika au kuhisika.
Haki elezeki, kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile hata ya kuelezeka.
Sasa wewe unayesema Mungu huyo yupo,
Elezea yukoje, kwa namna gani?
Maalim.Mimi ninalo.
Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuruhusu mabaya?
Ni utapeli mtupu
Tumeanza kupangiana lini tena kuhusu kitu au jambo la kuamini?Kikao cha mwisho hakikuwa na azimio hilo.Acha kuamini mavitabu yanayokinzana yenyewe Kwa yenyewe, Aya Kwa aya,mavitabu yenyewe yameletwa kwenye majahazi na walewale waliowatesa babu na Bibi Zetu, waliwalawiti, waliwauza kama maboga, eti hao hao ndio wageuke Leo watuletee kitu Cheney faida kweli?
Mimi naupendelea usanii wa Yesu zaidi.Hao wengine siwafahamu.Dini ni usanii tu wa Muddy na Issa wake, hakuna lolote
Huna mamlaka ya kuniongoza.Tulia.😂Bac acha
Wapi umejibuNimeshakujibu swali hili.
Ni kwa sababu umetumia ufahamu wa kimwili ndo maana huwezi ona ya Rohoni! Ili uweze kuutambua ukuu wa Mungu inahitajika uwe mtu wa Rohoni kweli kweli!Hakuna ujasiri wowote mkuu
Dhana nzima ya Mungu does not make sense at all
mpuuzi ni wewe usiyeamini uwepo wa Mungu. Heri uamini yupo ili hata ukimkosa isiwe na sababu za kuhukumiwa kwenda kuunguzwa moto wa milele jehanamuSikiliza ewe mpuuzi,unaye amini visivyo kuwepo.
Mungu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ni kwa sababu umetumia ufahamu wa kimwili ndo maana huwezi ona ya Rohoni! Ili uweze kuutambua ukuu wa Mungu inahitajika uwe mtu wa Rohoni kweli kweli!
Hivi kabla ya hizi dini za wazungu kuja huku kwetu hao mababu zetu wote waliokuwa wanakufa njia yao ilikuwa ni jehanam tu
😂Soma texts zote kuhusu kupimika kwa gas afu ndo urudi hapa naona form 2 hujatestiwa hydrogen na oxygenGesi si huoni mbona unaaamini 😂😂niambie basi hewa ipoje ?😂
Why Kama kitu hukijui una assume Kuna mtu anajua ...huu ni utoto ni sawa na mtoto kumuuliza maswali mengi mzazi wake coz anaamini anajua kila kitu . matokeo yake ndo ayaKama uliona sehemu niliquote hata mstari wa kitabu ,nataka utumie akili sio elimu ambayo hata kinjiti ya kibiriti huwezi kuunda.
Nimekumbia hata jamii zote zinatambua uwepo wa Mungu ndio maana kuna wanaabudu mzimu hata hapa Tanzania ni maprofessor ila wanafanya kafara kweny mizimu yao ,wanaheshimu mila na tamaduni zao katika kuamini na kutukuza mizimu yao na maisha yanaenda..
Huo ni mfano kuna kitu nje ya uwezo wa binadamu kinaratibu mambo ya dunia ndio maana nikakupa ishu ya mizimu pia wapo wanaoabdu miti ...Hapa nimekuwa hisia za binadamu juu ya uwepo wa Mungu sio dini wala sijaandikq maandiko nimetumia akili ya kuzaliwa...
Binadamu kama binadamu kiumbe chenye akili kinajipenda na kuweka ubinafsi ,jaalia leo binadamu anapanga yeye maisha yake (kuwa tajiri au laah) au anapanga muda wq kuishi ,anapanga kuzaliwa jamii fulani au hata jinsiq gani aww akiwa hapa duniani..
Katika mambo yote duniani yanayotokea licha ya tofauti zetu kiuchumi, akili ,elimu ,asili hata utaifa na vingine ....Kuna mambo yanatufanya tuwe sawa kwa tabia za binadamu sasa sana ni kuhsu hatma ya maisha yetu ndio maana sote tuna furaha na huzuni pia hakuna anayejua kesho yake katika viumbe wote hakuna mweny uwezo huo isipokuwa Mungu pekee.